Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 1, 2012

MY SMILE

Leo asubuhi katika pitapita zangu nimekultana na hizi picha za Careen, jamani  i cant stop smiling.......amenikumbusha mbali sana especially picha ya kwanza na ya pili kabla hatujaja huku......

she is sooo cute, 4months na dada yake mwenyewe, alijua kunilelea huyu dada mweee namkumbuka sana my Neema popote aliko....yaani ukiwa nchi za watu ndo utajua umuhim wa Dada na kumuheshima
she was spoiled baby mweee still 4months
ugaibuni  1yr
alipokua anajifunza kutembea weee nyumba yote ilikuwa yake
kasomi kangu kabaadae.......jamani mweeee naipendaje hii picha
december akiwa na mwaka na miezi mitatu...........
sitaki kuamini huyu ndo leo ananiongelea more than 50 words just in a minute and sometimes telling mama off hahahaaaaa amazing!!!!!!

3 comments: