Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 27, 2012

HAPPY 1ST BIRTHDAY BEYOU BLOG


Haya wadau BE YOU BLOG ndo ishafunga mwaka hivyo,kuna mengi nimejifunza ikiwa nikuongeza good friend  & haters....... yote maisha wanadam tumeumbiwa majaribu, ni kawaida na yatupasa kuyashinda.....Nimejifunza  na ninaendelea kujifunza kila sekunde,dakika au saa inayokuja kwangu ni opportunity haijalishi imekujaje yanipasa kuitumia ipasavyo huku nikinia kutimiza lengo......

Napenda kutumia muda huu kuwashukuru wote mnaoingia humu,nikijaribu kukumbuka siku na saa nilipoanzisha hii blog na kwa nini nilianzisha ni story ndefu sana sana japo sikuweka hapo awali nini malengo yangu.ok ikiwa ni pamoja na kufunga mwaka Napenda kumshukuru Mungu Kwa yote aliyoniwezesha  na hata yale ambayo bado napiga goti hayajajibiwa naamini hakuna chozi wala goti linalopigwa kwa Mungu lisijibiwa...... it is a matter of time......haukuwa mda sahihi.....all in all mimi leo kuwa mimi, uzima, afya, amani vyote ni neema nina kila sababu yakusema Ahsante kwake aliye niwezesha........hivyo moja ya shukruni yangu nimeamua kumshukuru Mungu kwa kumzawadia mdau AU$100  hapo chacha....... jamani sio kwamba ninazo No!No!No!  Mungu mwenyewe ndo anajua ntakavyojikakamua hahahaaaaa!!! au sina ndugu wa karibu mwenye hitaji hili yaani ninao wengi sana lakini Mungu ndo anajua why i wanna do this.

MASHARTI

1. NITUMIE  E MAIL NIAMBIE  UNAJIFUNZA NINI HUMU, NINI HUKIPENDI UNGEPENDA KIBORESHWE,UNACHOKIPENDA NA KWA NINI UNAKIPENDA

2. HOW DIDI YOU GET TO KNOW BE YOU BLOG ( UMETUJUAJE)

3. MSHINDI WETU NINGEPENDA ATOKE TANZANIA KWA PESA HII NAAMINI KWA TANZANIA ITAFANYA KITU KULIKO NCHI ZA WENZETU INGAWA MDAU YOYOTE UNARUHUSIWA KUJIBU MASWALI HAPO JUU. MWISHO WA E MAIL PLEASE UKO WAPI
e mail:slayros@yahoo.com
mwisho wakupokea e mail tar 5/12/2012 atatafutwa mshindi  before tar 15/12/2012  mshindi amepatikana na pesa yake anayo tayari kwa christmass..........itategemea change ya siku hiyo but not less than  shillings 150,000 za kitanzania.
Mbarikiwe.....

4 comments:

  1. Hongera mama wawili and Happy 1st Birthday our Blog!! Mungu aibariki iendelee uzidi kuniinspire mwaya.

    Nimeshatuma email ahahaha hope I will win that prize but nimesahau kuandika subject kwa email yangu naomba usiache kuisoma lols.

    Mdau wa Musoma- Tanzania

    ReplyDelete
  2. Hapo chacha mama yao,ngoja nijaribu bahati yangu.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  3. Happy bdy to u,hap bdy to u,hap bdy dia be you blog hap bdy to uuuuuu....kaninyima ubuyu,nimexahau kuendelea...hahahaha,ngoja ntume mail npate ya kujdaia bdy ya JESUS.....chiwinnie

    ReplyDelete
  4. Hongera my wifi and am glad una enjoy ku blog.me love you mingi

    ReplyDelete