Pages

Ads 468x60px

Monday, November 26, 2012

NEW ARRIVAL

Haya sasa habari ya mujini ni SILVER BOUTIQUE..... vivazi vya ofisini, vijacho,mitoko ya hapa na pale hukosi size yako.....mzigo umeshuka wahi  sasa,hakuna longolongo wamethibitishwa hata  mama wawili shahidi.......wanapatikana OP AZAM TAKE AWAY/JAMUHURI ST. NEW BENJAMIN MKAPA BUILDING MOB:+255 713 608 383

ukipenda ya maua au plain km ya mama wawili nenda kawaone......


i must have this.....
sukari sukari mama wawili naye anayo yake......uchaguzi ni wako rangi yoyote utapata

hapa tunatamanishana jamani naweza badili jina kuwa mama watatu hahahaaa!!

ushindwe wewe
hapo chacha




haya sasa wenye maumbo yenu








No comments:

Post a Comment