Pages

Ads 468x60px

Wednesday, November 28, 2012

MTAZAMO

Haya wadau mama wawili ni  mpikaji sana tu kila siku lazima niingie jikoni monday to friday......weekend labda tunaweza kula take away napo inategemea.......  Mabox sio kigezo kwangu chakutompikia Baba wawili...........my husband anapenda sana kula chakula alichopikiwa na mkewe.... vitafunwa lazima vipikwe mfano maandazi, chapati,mkate...huwezi mlisha  left over hiyo ni big no kwake, left over zinaliwa mchana mimi na wanangu when baba wawili is @ work.....   you can imagine how busy i am.........Ninafurahi na nina amani kupika kwa ajili ya mume wangu na wanangu, mtazamo wangu ni huu ni wajibu wangu kuhakikisha mume wangu amekula km ilivyo kwa wanangu... haijalishi niko busy vipi?????? akijisikia kunisaidi that is ok lakini sio kwa kumshurutisha aiseee............ uuuwiii eti nimekaa kwenye kitu baba wawili busy jikoni ananipikia!!!! mwe jamani !!!!!hivi kweli????mi kwangu hiyo  km laana vile heheheee!!! labda niwe naumwa...... yaani hata angekuwa mchina,sijui mzungu mndengereko mmmh!!!bado........Mweee sijui ndo ushamba wa mama wawili au ulimbukeni wa watu mi sijui.......halafu hata km anakusaidia hivi kuna haja yakukaa na wanawake wenzako kuwaambia???? unatafuta sifa au??? au ndo unatuambia unapendwa sana??????jamani kweli tuige tamaduni za watu lakini zingine hazitufai kabisa zinatuharibu.......kwa wale waliolewa na tamaduni zingine( wazungu), mi nafikiri  huyo jamaa aliona tofauti kati yako na wale wakwao ikiwa pamoja na maadili yakitanzania, basi tunza hiyo heshima na uhalisia wako ili akuthamini na kujidai ile tofauti yako na wale wakwao......otherwise tofauti itakuwa rangi ya ngozi tuu.......ni mtazamo wangu km ulivyo wako huwezi kunizuia kusema ila tunaweza kumsaidia mtu ambaye bado hajajua mwelekeo.....

Angalizo
sijasema ni vibaya mume kupika au kuosha vyombo ......... . kuna wanaume ambao wanapenda kufanya hivyo  na sio kumshurutisha.... na pia unavyoleta kwenye vikao vyetu vya kike liweke vizuri  basi au ikiwezekana usiseme kabisa.......hautapungukiwa chochote....

maandazi na mimi
usiniulize kiwango cha sukari au unga mbele kwa mbele bora mladi maandazi au sio.......hapo chacha!!
tayari kwakuchoma hahahaaa!!!
nikiwa na haraka na tumia deep fryer na huko ndo linafichwa
muke halali wa slay
nikiwa na mda napika kinyumbani na hilo ndo sufuria special kwa kazi hiyo
tayari ( hiyo shape ya andazi sasa khaaaa!!) lakini linalika au sio???
mama wa wawili naonja onja
usinichukue we nipende tuu ili twende sawa
happy mama
napenda kupika huku na safisha ili nisiwe na kazi kubwa nikimaliza
karibu....... nikimaliza tuu navuta apple juice na maandazi yangu kadhaaa buruuuudaaani!!!!

4 comments:

  1. I am happy for you mama wawili, umependeza and you look happy. Upo real sana hadi raha.
    Kweli umeongezeka leo ndo nimekuona vizuri.


    Mdau- Musoma TZ

    ReplyDelete
  2. Maandazi na apple juice mmmmh!

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  3. YAAA UNAJUA BANA KTK MAISHA HASWA HAYA YA HUKU KWA WATU KUSAIDIANA NI MUHIMU HUWEZI TOKA KAZINI UKAJIZUBAISHA ETI UNANISUBIRIA MIMI NIKIRUDI NDIYO NIANZE A,B,AND C..BIG NO KWANZA MUME UTAKUWA UMECHUNWA USO WA AIBU MAANA HATA UKIUGUA HAPAPIKI.WALA KULIKA ZAIDI YA MATAKE WAY.MFANO MZURI..NINA NDUGU YANGU KAMZOWESHA AKIAMKA ASUBUHI ANAKUTA SUPU YAKE TAYARI NA MAPOCHO POCHO KIBAO NYUMBA IMESHA FANYIWA USAFI NA WIFE KASHAENDA JOB AKIRUDI HAAA JIKONI TENA KUMPIKIA MUME NA WOTE WANAFANYA KAZI..HAPO NGOMA ILIPOKUJA KUGEUKA MKE ANAUMWA ANASHINDWA HATA KUSHUKA CHINI YANI KWENYE NGAZI HAWEZI KUFANYA CHOCHOTE HUWEZI KUAMINI NILIKWA NAMPELEKEA CHUMBANI CHAI YAKE NAMKUTA MUME YUPO BUSY NA LAP TOP MKE HAJIWEZI ANASOTA KUTANDIKA KITANDA NA KINACHOMUUMA NI MGONGO...KWELI NI SAWA????????? AU NI KUZOWESHWA UBWANYENYE???????? SASA IMEKUWA KM SISI NDUGU ZAKE HATUJAJA KUMSAIDIA MUME AKISIKIA NJAA ANAENDA KAY FC KUNUNU MICHIPS KUKU...KWELI INANAIUMA SANA SINA JINSI YA KUMSAISDIA NDUGU YANGU KM UNAVYOJUA MAISHA YETU YA ULAYA...KIKUBWA NI KUSAIDIDA JAPO DINI YA KIISLAAM MWANAMKE NI PAMBO KUFANYA SHUGHULI YOYOTE AKIPENDA LAKINI WAJIBU WA MUME AMUWEKEE WASAIDIZI JAPO MILA ZETU ZA KIAFRICA TUMEZOWEYA KUFANYISHWA..KIBAYA NIKWENDA KUJITANGAZI KWA MASHOGA INAHUSU KWANZA KWENDA KUJIELEZEA MAMBO YA NDANI NJE...ANY WHAY U LOOKING GOOD BBY

    ReplyDelete
  4. Me nataka andadhi ninywe chai jaman....chiwinnie

    ReplyDelete