Pages

Ads 468x60px

Monday, November 12, 2012

THE LOOK

Ama kweli  nipo busy....... jamani the coming saturday is mama wawili's birthday , huwezi amini nilisahau kabisa........ mbaya zaidi ni birthday ambayo niliipania sana hasa siku ambayo nilianza kujitambua na kujiwekea mikakati ya maisha........katika mambo ambayo nilimuomba Mungu nitakapofika  miaka........... (kikongwe mie) hahahaaaa!!!! ambayo ni jmosi sina budi kumshukuru Mungu 70% yamekuwa, na nilipanga kumshukuru Mungu kitofauti sana na kufanya bonge la party...... mweeeee huwezi amini jinsi nilivyo busy nimesahau kabisa km muda umefika...........sijakimbia kitu hapo,ukimuahidi Mungu lazima utimize au sio, hilo nilazima nilifanye............yaani nakupenda kwangu party kote........ cha ajabu eti baba wawili  nae eti kasahau.....mmmh!! namashaka hapa( BABA WATOTO UNAISOMA HII) nahisi km kajisahaulisha majukumu hahahaaaa!!!! HONEY, we still have 3more days hujakimbia majukumu kwi kwi kwi........ whr is yo w....t  bby,  i wanna chop chop yo monie for my big day ......

MAMA WA WAWILI
happy me





5 comments:

  1. Hahahahahahahahahahahaha mbavu zangu mama wawili mi hiyo suruali leo sijaielewa mana nimecheka hadi basi.


    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. Wacha weee mamy wa2,show what u hv,shape what mama gave uuuuu.......chiwinnie

    ReplyDelete
  3. NIMEPENDA ULIVYO VYAAAA..MPENDWA HUWAGAUNAMANENO YA MKUKI.......OK ALL THE BEST..

    ReplyDelete
  4. umependeza mwaya na kama ni figure unayo wengi wanaitamani

    ReplyDelete
  5. Usiwe unapigia picha juani mana unatoka umekunja uso...not good at all. Otherwise nimekusoma u look nicier

    ReplyDelete