Pages

Ads 468x60px

Wednesday, November 14, 2012

MAMA WAWILI NDANI YA LONG DRESS


Mama yao
hakunaga.........
kanipa mama ki.........!!!naimba

kutulia najua
happy mama

halafu wewe ulikazana kuniambia nimekaka maa wewe!!!!ushindwe na ulegee hhahaaaa!! una stress za maisha

mtoto bado mbichi hivi kwi kwi kwi (joke) naheshimu mtazamo wako mdau
mimi mwenyewe......

i cant belive am turning .. yrs old......uuuuwiiiiii uzee huoooo!!!
love yo all my peeps

5 comments:

  1. uuwiiiii, nimecheka ni nani huyo hukwambia umekakamaa? huwa nikitzama pic zako nnawaza hvhv ila naona si poa kukwambia. Kiukweli uso huukunja, cjui tuseme hujui kutabasam au uso tu wenyewe mzito? Huna konfidens na kamera kama unaiogopa hv unatazama pembeni na ukiitizama uso waukunja yaani tafrani. Usijali ni ukweli u r not photogenic, kifiga mashallah, ila risepsheni mnh

    ReplyDelete
  2. The beauty of the person is within the eyes of the beholder,umependeza mamito....chiwinnie

    ReplyDelete
  3. looking good una mwili mzuri.......achana na watu wanamastress hata pakuweka ubavu single room hawana wasamehe bure..

    ReplyDelete
  4. we ulianza vizuri na blog yako uku ukimtukuza Mungu sasa kama mtu amekuambia umekakamaa una haja gani ya kumjibu kwani wewe umejiumba?au wanamkosoa Mungu na hawajui ukuu wake keep on praising God for what he gives u in your life,you are blessed satan is a liar anataka uache kumtukuza Mungu wako na kukuingiza kwa mambo yasiyomtukuza baba yetu aliye mbinguni.
    Love you,nimeipenda sana blog yako its my first time kuingia humu nimejikuta naanza tokea mwanzo,Mungu akuzidishie upendo kwa familia yako ili mzidi kumtukuza yeye tu,barikiwa sana mdogo wangu

    ReplyDelete
  5. Leo umependeza sana,

    ReplyDelete