Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 13, 2012

JE UNA WITO......

Haya wadau kwa wale ambao mna wito wa kutoa, moyo wako huwa hautulii, unajisikia kufanya kitu kwa ajili ya wahitaji kuna mazingira fulani ambayo uliwahi kupitia hupendi kuona mwingine akipitia....... hasa ukiangalia ugumu na maumivu yake lakini huna uwezo  wakufanikisha wewe peke yako au uko nje ya nchi lakini unajisikia kufanya kitu kwa ajiri ya yatima, wagonjwa, wafungwa,.................... CHARITY ni kundi linalopatikana facebook lenye member wenye wito km wako wanaojitolea kila mwezi kutembelea wahitaji..... kila mwezi member anajitahidi awe  na vitu vyenye thamani ya tshs.20,000 na kuendelea kwa kadili ulivyojaliwa .........siku ya tukio utataarifiwa na mahitaji yanayotakiwa kwenye kituo husika then mtoaji utaangalia nini ununue na upeleke. HAIPOKELEWI PESA YA AINA YOYOTE KWA WALIO NDANI YA DAR ES SALAAM. unachotakiwa kufika siku ya tukio na vitu vyako mkononi au mtume mwakilishi wako. kwa tulio nje unaweza ukatuma pesa ukaomba uongozi au member au ndugu yako akununulie hitaji lako na kukupelekea. HAYA NI BAADHI TU KWA WALE  MLIOGUSWA nitumie jina lako unalotumia fcbk then ntalipeleka kwa uongozi......PLEASE JIKAGUE KWANZA KM UNA HUDUMA HII KABLA HUJANITUMIA JINA.......

SHIME SHIME WATANZANIA WENZANGU KUTOA SI LAZIMA ZIWE ZIMEJAA MFUKO BALI, KWA KILE KIDOGO AMBACHO MUNGU AMEKUJALIA NA NDIPO BARAKA ZAKO ZILIPO.

MBARIKIWE

hawa ni baadhi ya walioshiriki mwezi huu kutembelea  Segerea prison



 




1 comments:

  1. Hapo umenena kutoa ni moyo sio utajiri.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete