Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 8, 2012

MY INSPIRATION

Hivi umeshawahi jiuliza who you what to be???? and what inspire you to be???? as for me  naamini  kwamba,The inspirational people help me to improve my life and happiness by combatting fears and encouraging my strength............ nje na Mungu wangu na Mama yangu hizi mutu huwa ni kioo cha maisha yangu..........

kifamily zaidi,kibali ugenini, hardworking, na mengineyo meeeengi, jamani hata nusu nifikie basi mwee Careen na Cristabell watakuja kumalizia palipobaki.........namuona mama wawili, baba wawili, Careen & Cristabell to be  hahahaaaaaaaa.......... km namuona mtu alivyovuta limdomo fyuuuuuuuuuu na kumalizia hizo ni ndoto za ........( in haters voice)
(MCHUNGAJI GETRUDE PANGALILE RWAKATARE)hii namba nyingine aiseee kwa wale wanaomfaham zaidi mtanielewa ILA,wale wasikilizaji wa story za mitaani hapa tutapishana sana tuuu....kiimani, unyenyekevu,umakini,hekima,kujitambua na .................

(MWAVITA) hapo chacha................hahahaaaaa!!!! kuna mengi hapa ambayo kijana yeyote angependa kuwa  kuthubutu, kujiamini, ujasiri, kujichanganya ..................

Nimeona ni share hili leo tujikumbushe km vijana tusiwe bora liende kwi kwi kwi

ANGALIZO
Hakuna aliemkamilifu chini ya jua they might not be 100% perfect km alivyo binadam yeyote, lakini kuna vitu vilivyondani yao ambavyo inspires mama wawili............



7 comments:

  1. Mmmmh shost mi nimefurahi sana obama kushinda ingawa sio kwenye politics hata kidogo.kuhusu inspiration obama family na slay family look the same in other way. Wenye kusonya wanaisoma kimya kimya

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. Mmmmh shost mi nimefurahi sana obama kushinda ingawa sio kwenye politics hata kidogo.kuhusu inspiration obama family na slay family look the same in other way. Wenye kusonya wanaisoma kimya kimya

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  3. Mmmmm! jamani wakati mwingine tuwe wakweli..be sekito hahahah kumfananisha Obama na hao ndugu wawili nadhani umekkosea sana. Obama is down to earth si mchoyo wa hekima busara na maarifa. Hana utajiri wa kupindukia..sasa mwanawane Getrude na Mwamvita kweliiiii unaona kama ni mifano ya kuigwa? Dhuluma ni dhambi kubwa sana mbele za macho ya Mungu. Nadhani utakuwa umenielewa. Tusiwasifu watu kwa ushabiki au mapenzi ya watu labda rafiki ndugu au jamaa tuwe wakweli na wawazi itasaidida kujenga jamii. Yesu alisema ya kaisari tumpe kaisari ya Mungu tumpe Mungu...Huwezi kutumikia mabwana wawili Mungu na Pesa...nadhani unaifahamu sana Biblia..samahani nitakuwa nimetoka nje kidogo ya topic unisamehe bure..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Soma vizur alichokiandika mama wawili.

      MUKE YA MUSUKUMA

      Delete
  4. YEEE KILA MTU ANAJNOZI ZAKE MMM MIE NYINGI TU BUT INSHAALAH ONE DAY YES...KUNA KAMTU KANATUMIA JINA LANGU KUTUKANA KWENYE BLIG ZA WATU WAKATI MIE KWETU NIMEFUZWA EEEE NA HATA SIKU MOJA SIJUI KUMDHARAU MTU WALA KUMTUSI NIPO KIHEKIMA ZAIDI NGOJA KWANZA NIENDELEE NA KAJINA KAZAMANI BADALA YA RUKY UK NIENDELEE NA ME UK

    ReplyDelete
  5. Jaman hajafanansha mtu,bt ametaja wale wanao muinspire yeye...me ctoshangaa ww kuwataja mpok au mzee majuto...mama2 look at ua role models n say smthng to God utawafkia au kuwa ht zaid yao,n ucsahau ww mwnywe ni role model wa mtu au watu...chiwinnie

    ReplyDelete
  6. Hahahahahahahahahahahaha chiwinnie u made my day watu hawasomi vizur wanakurupuka kucomment eti mwamvita vs obama wakat mtu kaorodhesha wanao muinspire.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete