Pages

Ads 468x60px

Wednesday, March 21, 2012

NIMEIPENDA

inapendeza kuona tunathubutu kufanya  kwakujiamini bila kusita...... hatutulii  kila siku tunawaza kitu kipya.................. huyu dada anajulikana km blogger lakini siku mbili tatu hizi ametuonyesha hata kwenye mitindo yumooooo......... mdau picha inajieleza.......Hongera sana mamii kaza buti (kisema na wewe kazi kazi)
Wadau nimewamiss sana tu kwakweli  nimekuwa busy busy kidogo na majukumu ikiwa pamoja na maombolezo. kazi  inaanza sasa tulisukume libeneke letu au sio...........


     NAWAPENDAJE???????

Monday, March 5, 2012

RIP

 RIP RAFIKI YANGU,MY FATHER INLAW PETER MBEYELA
TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA LA BWANA LIBARIKIWE

 





Sunday, March 4, 2012

MTAZAMO

Wadau hii kwangu ngumu kumeza mmmmhhhhh!!!!! acha inipite imagine with them shoes!!!!!!!!!msininyasenyese wadau  wanasema hivi, ukipendacho wewe si lazima nami nikipende??????????na huu ndo mtazamo wangu wa leo




Because it's hot pink. Make that fuschia.
Because it's got a serious heel. I love a thin line.
Because it's got a sharp platform, the only way to wear your platforms these days.
Because it's got a sparkly underside. Who DOESN'T want a sparkly underside?
Hot off the Paris runway ladies, hot off.


NIMEIPENDA




HAPPY BIRTHDAY TO MY FRIENDS


ANNA RUG

REHEMA

Thursday, March 1, 2012

WADAU WEEK END MOJA MAMA WAWILI ALIENDA KUTEMBELEA MINES SITE KUONA WENZETU WANAFANYANINI DUUUUUU!!!!! MAMAWAWILI NILIOGOPAJE???????? YAANI NILIKUWA MASAA YOTE NAWAZA HIVI HUU MWAMBA UKIDONDOKA ITAKUWAJE NA MIMI NIMO NDANI???????????????????NAHISI KILE KILIKUWA NIKIPIMO CHANGU CHA WOGA YAAANI NILISAHAU KABISA KM KUNA WATU HUMO KWAO NDO OFISI KM ZILIVYO OFISI NYINGINE...........
KWA KWELI NILIJIFUNZA KITU  MDAU ENDELEA KUNICHUNGULIA MDAU NTASHARE KITU HAPA HAPA UWANJANI KWETU KWENYE TOPIC YA MTAZAMO............

yaani hiyo ni ofisi ya mtu

yaani nilifungwa hapo kiunoni ++++++hizo buti nahisi niongeza kg 10

nikakutanae niliishia kupiga goti nakumwambia hongera na pole

mwenye ofice mwenyewe full smile

mama wawili @ list smile niliambiwa hapa ndo if anything happen mnaingia humo then ndo uokoaji unaanza hahahaaaa nilijiona @list nipo safe
alikuwepo nexst office hongera na ahsante sikusita kumwambia
baba wawili na mama wawili

nilishuhudi kifusi cha dhahabu kikibomolewa na huu mmashine
ofisi ya mtu hiyo
UJUMBE: KAZI NI KAZI HESHIMU THAMINI KWA KADIRI KILA MMOJA ALIVYOJALIWA IWE MANAGER, MMBEBA MABOX,KULEA WAZEE .....................................................

HAPPY BIRTHDAY LUNNEY