Pages

Ads 468x60px

Monday, July 15, 2013

THE LOOK


SHOW OF ZA TOTO LAKINYALU....................

MUKE YA SLAY
Mama wawili
safari ilikuwa hapa.........stay tune kujua mpango mzima.....

20 comments:

  1. Big up mama mawil always unajua kujipatia, pendeza sana dear!!
    mdau

    ReplyDelete
  2. umependeza ila una sura ya kiume

    ReplyDelete
    Replies
    1. Km ya kwako ilivyo.watu jamani hamkosi maneno

      Delete
  3. Msielezwe ukweli .....watu bwana ...kama anafanana kiume tuseme anafanana kike .wadau wengine hovyoooooo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo afanyeje kama mmeeleza? Au aje kwa mamako azaliwe naye km wewe apate ya kike? Eleza kitu anachioweza kubadirisha mfano mlivyosema nywele. Utamweleza mwanao akiwa nayo hiyo yakiume uionayo uone utamu wake. Laaana tupu.

      LoVe

      Delete
  4. Hahahahaaa...achia comment zote zionekane na wadau mburura wewe kama ,unavyoo yaachia maisha yako kwenye blog..mbona unafuta nyingine........si unajiamini wewe .tuwapashe wadau wako wasiokufahamu wakufahamu kupitia blog, ili siku ukitunguliwa wasishangae...nyangumi wa kike wewe

    ReplyDelete
  5. Kwa hiyo kama ana sura ya kiume unatakaje? umevurugwa wewe si bure...stress zako usituletee hapa......msonyoooo

    Muke ya Slay umependeza mbaya na hiyo figure yako ndo usiseme, nguo imekutoa kinoma.

    Mwanao kapendezaje sasa, weka pics zao pia nawapenda sana wanao.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  6. Mmmmh kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzie, mie nikajua huo usemi wanawake tuliisha ufutilia mbali... kumbe bado unadumu. Makubwa, Tunahitaji neema za Mungu zaidi.

    Mbarikiwe wote, ila tu tusisahau sote tumeumbwa kwa mfano wake.

    ReplyDelete
  7. Rose jitahidi kusafisha kidevu pia labda wataacha kusema una sura ya kiume mshikaki jamani mbona mmeninyima aaaahaahahahaa

    ReplyDelete
  8. Anon 11:30PM punguza jazba blog yake akitaka kuonyesha maisha yake ni yeye mwacheni dada wa watu,fungua blog yako.

    ReplyDelete
  9. Mama wawili ndiyo maana unabarikiwa sababu hauwajibu hao, endelea kuwa na hekima hivyo hivyo. Hao ni wivu unawasumbua ma looser kwa namna nyingine. Ukiona hapo nini sababu ya kukutukana Hamna. Matusi Yao ni laana kwako wenyewe.

    ReplyDelete
  10. Akitunguliwa una maanisha nini wewe una mjudge mtu ni nani wewe !! only God can judge people no one else. Mama wawili endelea na maisha yako achana nao.

    ReplyDelete
  11. Akitunguliwa una maanisha nini wewe una mjudge mtu ni nani wewe !! only God can judge people no one else. Mama wawili endelea na maisha yako achana nao.

    ReplyDelete
  12. Annony hapo juu kila wakati et una sura ya kiume so what nunataks nini???

    ReplyDelete
  13. Jamani mimi ninarekebisha tu kidogo,mi sidhani kama rose zile ni ndevu,wadau yale ni mavuzi yamehamia kidevuni sababu alinyang'anya mume wa mtu.Unaposema ameamua kutangaza maisha yake wadau wanamuonea vivu unauhakika?Ulisha wahi kuona walio na maisha bora huwa wanajitangaza?Rose ni masikini wa mali,akili,fikra na kujiamini ndio maana anatapatapa kama mfa maji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah. Rose embu punguza dose mama mana watu vichaa vinazidi kuwapanda mana povu linawatoka km wamekunywa omo

      Delete
  14. AnonymousJuly 15, 2013 at 11:30 PM wivu ni kidonda ukishiriki utakonda achia na we maisha yako tukuone ulivyokuwa huna haya lohhhhh wanawake hebu jitizame hapo ulipo maisha unayoishi na jamii iliyokuzunguku umekamilika kweli? sidhani hata kama unashughuli yoyote yakukuletea maendeleo zaidi ya kuwaza mabaya kichwani mwako, au kwa kuwa huna hata hiyo akili ya kuuza maandazi roho mbaya haijengi mwanakwetu jaribu kuwa mstaarabu mjalaana wewe usiyejuwa vibaya mfyuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  15. Jaman ujanja si kuwahi ujanja ni kupata, kuiba mume wa mtu ina huuuu....
    u never know Slay alipangiwa awe na rose that y wameweza fika hapo walipo..yawezekana na ww uliyenae si wako au kwa vile hatukuoni kama rose??? what matter wanapendana na maisha yanasonga mbele
    mdau

    ReplyDelete
  16. Heeh jamani punguzeni munkari..a.k.a jazba...mnaturushia mate jamani mapovu ya mdomo lol..UJANJA KUPATA kama alivyosema mdau hapo juu kama alikua mume wako (which i doubt) basi hukumtunza vyema kakimbilia kwa mwenzio..upo hapo? we chamaana sali omba Mungu atakupa unayefanana nae...sawa shostito? na uache tabia ya kumsema sema mtoto wa mwenzio ehh maana inaelekea wewe unayemsema Rose ni mtu mmoja huyo huyo kila post lazima umseme vibaya..acha tabia za kishetani wewe...lione kwanza!

    ReplyDelete
  17. yaani leo ndio nina muda wa kusoma hii blog relaxing in a hotel room...jamani kila mwanaume loved someone before they met THE ONE it happens all the time..Rose is SLAY's the one...actually Slay is fortunate to have Rose and not otherwise

    ReplyDelete