Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 22, 2012

UP TO DATE.....


 Guys,  i had a very important  meeting  this week for two days........Thanks God all went good!! its all about my dream heheheee!! imebaki makabidhiano tuu Mama yao amiliki .........Bwana akisimama ni nani atakayezuia?????????Wakati wa Bwana ukifika umefika  NA UKIFIKA HUWA NA KISHINDWA CHA KUBOMOA NA KUSAMBARATISHA mpango mzima wa adui (haters) kwi!kwi! kwi! i love all my haters  and i pray for them to witness my miracles......thats all! otherwise watu wangu wa ukweli nawapendaje???? natamani kweli kuwaweka wazi  but heheheeee hakuna raha km kumsuprise adui au sio vuta subira wapedhiiii, some of you know, what is all about...... i believe your all my good people km sivyo heheheee!! bad luck isome kimya kimya inywee na maji.............

jamani camera yangu kimeo  cha msingi ujumbe au sio????

mama wa wawili

muke yake slay
nafanania eeeh!!!!

Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu..........na kwa jinsi hii ukafanyike kuwa shuhuda na mataifa wakatambue ukuu na uweza uliopo ndani yako.........

3 comments:

  1. Mmmmh macho yananitoka jamani kwa umbea haya ngoja nivute subira ila ngoja ngoja yaumiza matumbo bana.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. nakwambia mie je mmh.mwanamke umbea bana na kusutwa ni sunna

    ReplyDelete
  3. Me had najikwaa kwa kuutaman umbeiya,bado kupga chafya na miaya..mmh umbea noma ninong'oneze bathiii hawatackia wakma me uk na muke ya musukuma..chiwinnie

    ReplyDelete