Pages

Ads 468x60px

Tuesday, November 20, 2012

SHUKRANI WADAU

Hii ni kwa wale wadau wangu niliomba mniombee niongezeke vikilo  kadhaa hahahaaa!!!!.i was so skiny...... inatosha wa ndugu..... inaonyesha kweli mnajua kutunza agano nakuomba kwa uaminifu kwi kwi kwi kwi! naomba nitangaze rasmi tusitishe hayo maombi vile vikilo vyetu vimeshatimia  ninakoelekea sasa mtanipeleka kwenye ratiba ya diet na gym kitu ambacho sitaweza kabisa hahahaaaa!!!! mama wawili is too busy muda wa gym hautakuwepo and i love my food aisee ukinipeleka kwenye diet utaniua  hahahaaaa!!(joke) 

kiukweli i love me kwa sasa nisiongezeke wala nispungue


mama yao

No comments:

Post a Comment