Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 11, 2012

MY NEIGHBOUR

Ijumaa kagonga gari ya kazi mume wangu bila sisi kujua, jumamosi yake akatugongea mlango, mi nikawa km namfananisha nimeganda mlangoni nipate intro first,  ok kaniambia yeye ni nani and what happened, kwenda kuangalia tukamwambia asijali kwani gari hilo na kazi yake nikawaida.Prado yake inahitaji matengenezo kwa kweli........ hakuamini akasema anataka kutulipa  tukamkatalia, akasema anatupa one week tujifikirie km kweli tumemsamehe, tukamuhakikishia asijali yeye aendelee na ku fix gari yake....... After 2week ambayo ni last saturday  mi na baba wawili tunasafisha mbele ya nyumba, namuona huyo anakuja na  bunch of flowers na box la pipi  just to say thanks kwa kumsamehe mweee...... nilijiuliza sana hivi ingekuwa bongo hapo ingekuwa hivyo?????kwa nini amelichukulia kihivyoo, ina maana hawa wenzetu kusameheana ni issue sana au????au yeye tu moyo wake????pia nikawaza km mimi ningemfanyia yeye ningefanya km yeye au???? angenisamehe???huwa tunaonana mi ninavyoingiza gari getini au kutoka na yeye akiwa kwenye gari tena huwa tunachuniana unless tumegongana macho tutapungiana mikono ya ujirani ndo maana nilikuwa namfananisha....
kwa kweli amenipa mtazamo tofauti niliokuwa nao before kuhusu majirani zangu........
nyumba kulia yenye mail box ndo yake, na hapa ndo baba wawili alipaki, kwanza tulikuwa tuna makosa alipaki sehemu ya njia za miguu, kitu ambacho yeye anaweza reverse mpaka huku....Baba wawili huwa anapaki hapa ni rahisi kwa yeye kuingia getini kwa sababu hii gari ina geti lake na parking yake ipo nyuma ya nyumba


MKWARUZO WENYEWE nakumbuka bongo gari yangu yukutembelea ilikuwa na mikwaruzo km hii mingi tu nanilikuwa naduda nayo mpaka bila hata kujali hasa ubavuni.....


huko nyuma inamikwaruzo kibao km mjuavyo gari ya kazi

ujirani mwema
nzuri eeeeh!!!

2 comments:

  1. Shost kijiwe kilipooza mana ulikua kmy mno, back to the topic kweli ni ujirani mwema mana ungesema akulipe huwezjua kesho na wew utaharibu nin.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. WENZETU HUDHANI SISI NGOZI NYEUSI NI WAKOROFI WOTE THAT WHAY HAKUAMINI AU ALIDHANI MTAMLIPIZIA KUMGONGEA LAKE KUMBE KILA MTU NA ROHO YAKE NA MALEZI YAKE

    ReplyDelete