Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

ONJA


tayari kwa mtoko

mama wawili

muke ya Slay......... yaliyoendelea yakwetu....

13 comments:

  1. Umependeza Mama Wawili. .....

    ReplyDelete
  2. sema unajua kupangilia kuvaa ungekuwa hujui na hiyo sura sijui ungeweka wapi sura yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usililie sura lilia bahati

      Delete
  3. umetokelezea moja mbayaaaa chezea nice shoes unajipatia wewe sasa mbona hukuweka mkono vizuri tuone kucha jamani umetuonyesha pete tuu weka na kucha tucopy maujuzi wabongo tumezoea copy and paste all in all umependeza muke ya SLAY

    ReplyDelete
  4. looking beutifully my sisy

    ReplyDelete
  5. Hapana chezeya Slay wife,kama nawaona vile wene chuki zao wakiamka watavocoment kwa husda

    ReplyDelete
  6. Aliyebarikiwa na akazitambua baraka na majukumu yake ndio mzuri kwa taarifa yako,wenye sura unazoziita nzuri wengi wao shetani anawatumia vibaya vibaya na wanatafuta amani kila siku hawazipati.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukute na wewe sura kama uvungu wa pumbu

      Delete
  7. hahahahahahaa uuwiiii jamani we mdau umenichekesha mpaka basi eti sura ka uvungu wa p......u ahahahahah
    Unajua kuna mijitu ya ajabu sana, sasa lenyewe linajiona licuteeee nyoko zako wewe unaye sema mwenzio sura mbaya!!! Rose ana ubaya gani? au ndo wivu.com

    Mama wawili yani ulipendeza mnoooo hiyo nguo ilikutoa bomba na style yako simple ya nywele ilikutoa sana.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau msoma nimecheka mpaka basi khaaa!! Hizi Lugha hapo ulizoziandika ni wewe au mtu katumia jina lako??? Sijakuzoea bwana...... huwezi amini huyo mdau niliachia sikujua km mwisho kamalizia hivi we ndo umenistua ha!ha!ha! Nimeamini kila kitu kwa sababu ilitokea ili nione musoma ukiwa na hasira unavyotiririka.... Kwi!kwi!kwi! Ur my no.1.....tuendelee kutunza hadhi ya kijiwe chetu ili kiendelee kufanyika baraka..... Sipati picha hizo hasira kuna hiyo moja ip inanionyesha ipo Kalgoorlie lakini yenyewe inatuma comment inaigiza ipo Tz utaihurumia inavyotapika halafu siachilii comment juzi kati nimekutana nayo minaiendea kipendwa pendwa hata haijielewi... All in all tuwapotezee hata km tunataka kuwapa mawili matatu basi iwe kiutu uzima you never know through us wanaweza badilika km tukiendelea kufanya yetu kwa busara na tafsida......nimefunguka kiaina nawapenda wote mnaoingia humu.......

      Delete
    2. By the way huyu ambaye huwa anasumbuka sana na sura au namna yoyote ya kimwili hanisumbui ndo maana huwa naachilia tuchangamshe genge nafikiri hata yeye ndo sababu yake kubwa km sijakosea kwi kwi kwi kuna hiyo inayoona humu ndani tunaigiza mara sijui inasubiri initungue kwenye paa la nyumba yake, mara my baba wawili wangu sijui nini na nini??? Yaani ni no life @all watu tunajifunza from past tunaomba rehema za Mungu zitusaidie kurekebisha future lkn kuna watu wamechezea shilling shimoni na bado they make a situation more worse.......seriously wapendwa tuombee adui zetu huko waliko wanateseka mnoooo.......sijataka kuliweka hili km post kwa sababu sitaki kumpa shetani maarufu hata kidogo...

      Delete
  8. ahahahaha mama wawili ni mimi mwenyewe mdau wako wa musoma unajua anakera sana huyo ibilisi kila siku yeye kabaki na sura suraaa tumemchokaaa akafie huko kuzimu.

    Kama anaona sura ndo dili basi ajipige picha aweke kwenye mabango huko barabarani apigwe vumbi khaaa.

    Nakupenda sana mama wawili maana huwa unanifundisha kitu.
    Na nilisha sema kama humpendi mtu why bother coming here every day? Si atulie kwenye blog za hao anao waona warembo kwake!!! Ebo!!

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete