Pages

Ads 468x60px

Wednesday, November 7, 2012

MY SMILE



Nimeamka asubuhi yaani na imagine siku itakavyokuwa busy mambo mengi  kuliko......mnaokaa nje ya nchi mnanielewa..... usafi wako, watoto wanakuangalia wewe, kazi za watu hujafanya, yaani fujo tupu... lakini  nimejikuta siku yangu ikishine na smile alilonipa Cristabell my 2yrs old hahahaaaaaa yaani sijui maneno anayatoa wapi kila siku najifunza vitu kupitia kwa wawili...........

Nilikuwa  na appointment na fundi aje kuinstall 24hrs christian channel nyumbani kwangu sas mda umefika  door bell  hiyo...... Cristabell mbio mlango mumiii someone is knocking the door( in cristabell voice) mlango wangu unamuona mtu akiwa nje ila yeye hakuoni mara namsikia mumy grandpa is outside(in her voice) mmmh!! nikaenda kufungua ile nafungua mlango Cristabell: hello grandpa, kamng'ang'ania Baba wa watu jamani sio mzee wa hivyo  yuko kwenye 40s  Fundi kamchunia km hajamsikia, hawa wenzetu hawapendi ukubwa jamani, ukitaka msielewane mpe umri mkubwa weee!! atakuchuniaje????? mmmmh!!!sio wote lkn hamchelewi  kucomment hahahaaaaa.

Naongea na Fundi my Cristabell yupo pembeni kumbe anatusubiri tumalize aendelee haiwezekani kachuniwa, nimemaliza tu fundi kaaza kazi huyo kamfuata, Grandpa what is your name?(in her voice), fundi kamchunia tena, mtoto kaanza kulia anakuja kwangu mumiii grandpa is not talking to me ( in her voice) hahahaaa mara fundi kajibu why r u calling me grandpa( in bass voice) because your grandpa ( in cristabell) hahahaaaaaaaaa nilijikuta nimekauka kwa kicheko badala yakuamua ugomvi....... nilimbeba mwanangu huyo nakuzuga nae nakujitahidi kumwambia asimwiite grandpa nikamtajia jina lake hapo ndipo aliporidhika mwanangu mweee......lkn mi kimoyomoyo nilikuwa nafurahijee???? km mama utanielewa unapomuona mtoto wako kila stage ya ukuwaji wake.........yaani hata majukumu ya siku nilisahau kwa muda...........

Sasa baadae kidogo tukaanza maongezi na fundi ili kuweka mazingira sawa si akaanza kuniambia mtoto wake wa kwanza ana umri ambao nikipiga mahesabu kanizidi mwaka mmoja nilicheka kimoyomoyo alivyokasirika wakati anaongea na mtoto wake(ambaye ndo mie) hahaaaa na Cristabell mjukuu kwi kwi kwi...........

I LOVE MY CHILDREN.........I WOULDN'T BE MAMA WAWILI WITHOUT THEM......AM BLESSED

5 comments:

  1. Haahhhhaahhah siwamezoa kuitwa majina, kubwa zima linaitwa na mtoto Johnnnn........mwehh pole mwanangu.

    ReplyDelete
  2. Lol naona shost akaimbuka dah! ile mtoto aking'ang'ania kitu mpaka kieleweke,watu hawataki uzee hahahahahahahahahahahaha

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  3. Lol naona shost akaimbuka dah! ile mtoto aking'ang'ania kitu mpaka kieleweke,watu hawataki uzee hahahahahahahahahahahaha

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  4. ha ha hah ha umenuichekesha km namuona alivyomshupalia fundi

    ReplyDelete
  5. Jaman cristabell,mwenzie hatak ukubwa,huyo nae babu tu kubwa zma anataka utoto....chiwinnie

    ReplyDelete