Pages

Ads 468x60px

Monday, November 26, 2012

Nimejifunza.......

 
kuna kitu ambacho wanadam huwa tunajisahau sana sana, tunasahau kuwa hapa duniani tuwa safiri, safari tusioijua lini mwisho wake, kwa maana nyingine hakuna ajuae kesho yake..........na km hatujui je tupo tayari?????ki ukweli asilimia kubwa wengi tunaanza kukumbuka hili pale tunapoumwa au tunapokuwa na malazi fulani yanayotupelekea hofa  ndipo tunapokumbuka hili, tunasahau kuwa hii safari haijalishi umeumwa au mzima ikifika imefika.............maandiko yanasema SITAKUFA BALI NTAISHI  NIYASIMULIE MATENDO MAKUU YA BWANA,lakini bado naambiwa HAKUNA AIJUYE SIKU WALA SAA YA MWANA WA ADAM KUJA nikisoma zaidi naambiwa KILA NAFSI ITAONJA MAUTI..... huu ni udhibitisho kwangu uwe mwamini au usiwe mwamini yatupasa tuwe tayari......

Mama wawili nilipokea msiba last thursday ulionigusa, ulionifundisha  na kunikumbusha  yalionipelekea leo niandike haya............(MAY HIS SOUL REST IN PEACE)

Balance your life
Jamani km upo uwezekano  wa kula bata usijipunje kula as much as you can  wakati huo huo ujue unaweza kuishi miaka mia moja hahahaaaaa!!! umejiandaaje?????.....panga mipango kamili kwa jamii yako mke/mume, au watoto.aisee this man was smart hey!!!  sijui nisema???

sorround yourself with positive people
hapo chacha hahahaaaa!!!  jamani using'ang'anie watu ambao unahisi unawahitaji  kwa kile eti  sijui kabila moja, sijui wa wapi  guys ni kweli atakae kuzika humjui hivyo tuna kila sababu ya kumthamini na kumuheshimu kila mtu bila kujali atakusaidia au hatakusaidia huo ndio ubinadam. lakini, kunawakati tunakumbatia watu ambao they might be right but  not for you......kwa maana nyingine they dont deserve u!!! jamani hichi kipindi niliwahi kupitia aiseee uwiiiiii yaani kila unachofanya unawaza kwanza hivi ntawafurahisha au, unawaza tuu mahusiano na watu ambao kwa mda wa miaka 27 or so tangu nilipozaliwa sijawahi onana nao na wala sikutegemea ....... OMG  usiombe hichi kipindi leo nimekumbuka mwee.....it was worse,i tried, it just didnt work for me ...... am so glad am over it!!! kama ni mara ya kwanza aisee ni kazi kwa sababu utajiona kabisa unajitahidi kupotezea lakini moyo wako unakusuta  because that is not real you.... ila kwa maumivu yake aisee utajifunza tu mmmmh! nilihitaji na maombi ya ziada. back to the topic this man was down to earth......wakina sie tukiona mzungu tunaanza this, that za kujikakamua hahahaaa!!! jamani alijua kuishi bila kujali unacho au hauna, haijalishi una rangi gani na hivyo kiswahili ajikuwa anakijua duu tulijiachia kwa kweli mwee (RIP) ntaongea mpaka waosha vinywa mtapata  vya kuongea haya hayo ndo yangu ya leo.........
mama  yao wawili

muke ya mwenyewe
mimi

love yo

2 comments:

  1. We nawe unapotea mno bana au ndio kuomboleza huo msiba ulioupata Thursday? Na hapo sebuleni mmmmh! Chichemi.

    MUKE YA MUSUKUMA

    ReplyDelete
  2. Muke ya Musukuma utasutwa na matarumbeta ahahahaha umeambiwa na nani kuwa hapo ni sebuleni?
    Hapo ni nje shost nadhani ni sehemu ya kupumzikia tu kwani wewe hupajui ndani kwa mama wawili? ahahaha.

    Mdau wa Musoma TZ!

    ReplyDelete