Pages

Ads 468x60px

Tuesday, March 31, 2015

MAMA WAWILI........

Ha!ha!ha! nyie Bwana mi mzimaa kabisa yaani hata siumwi....... Lile Gauni hata mimi nilikuwa najicheka kitambaa cha ndani  kilikuwa unahitaji kukitengeneza kila pozi sasa kungine nilikuwa nasahau  ha!ha!ha!
 Kesi sitaki mjue......... ila vinyama vimeongezeka mpaka nimejishangaa......ila nilichogundua kwa wale mnaotaka vinyama nyama aisee do not pay attention to your body we vuruga tuu ha!ha!ha! nimesema sijipimi ng'o mpaka nione sasa inatosha ndo nijue nimevunja record kwa kiwango gani................ otherwise nikianza kujipima pima ntarudi kule kule kwenye kupay attention ndo ntavuruga kabisaaa.........




 Umeamini eeh!! hamna kitu humo....................maana wengine umeanza kunitumia mibaraka  mweee isije ikawa lisemalo linakuja uuwiiii!!!  jamani km liko njiani basi tusubiri mpaka haka kabinti hapa chini kawe kwenye umri fulani wakumbeba mtarajiwa............ kwa sasa ndugu zangu mmmh!!! 

Jamani nyie acheni kaendelee kuwa katoto kanyumba  ha!ha!ha!

Nawapenda

1 comments:

  1. Pendeza mno mammy ake na Careen....baby kapendeza pia.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete