Pages

Ads 468x60px

Monday, March 2, 2015

THE LOOK..........................

Kwanza nimekasirika mjue ????nina matukio yangu nilitaka kuyapost sijui nimefanyaje yaani file lote limejifuta mbaya zaidi nilijua ntapata kwenye trash kumbe nahisi wakati nafuta trash lile file lilikuwa huko so no kumbukumbu aisee  ha!ha!ha1ha!  ok hakijaharibika kitu   Nashukuru Mungu file muhimu mnoo halijafutika lina tukio kubwa sana la mtu fido fido Ha!ha!ha! mbona angenitoa macho km asingekuwa na kumbukumbu yake...........

 Tuendelee

Mama misifa ngoja nijifagilie bwana ha!ha!ha!ha! Baba wawili weekend aliniruhusu nakunikatia return ticket ya one night kwenda kuhave fun na one of my girl somewhere. Sasa nikiwa huko yes nilikuwa natumiwa sms jumba imekuwa kubwa sijui nini na nini bwana nikawa nachukulia poa tuu siunajua tena  nilijua zile habari zanikinywa maji nakuona kwenye glass, sijui barafu wa moyo wangu tangu lini barafu ikakaa kwenye joto??  ha!ha!ha!  Nimerudi jamaa naona ananipa jicho fulani hivi mtu mzima  silielewe hee baada ya muda kafunguka Mama watoto kwani huko ulikoenda umefanywaje mbona nakuona umekuwa mrembo zaidi  na mengine na vitendo viliendelea (wazee kama mimi  pekee ndo wataelewa hapa Ha!ha!ha!) Halafu ni kwambie nini???? tatizo sio kuambiwa issue ni ile namna unavyoambiwa duu!! hapo leo wadau mkiniambia sijui na lipua sijui nini  mtajiju mi bado nadai  Ki!ki!ki! nyie mi nachangamsha genge tuu ila nimesifiwa kweli mjue...............
 kwa mfano nisingekuwa na nguvu ya sifa unafikiri hii picha ningeachia???  hilo pozi la reception ni balaa eti eeh????
Mama yake Wawali.......
 love you

3 comments:

  1. ni kweli umependeza sana mamy! hongera

    ReplyDelete
  2. Ha ha ha ha ha mama wawili sikuwezi!! Nimechakaje sasa!! Eti mama misifa... C'mon!! Napenda unavyoijua thamani yako!! And yes nakubaliana na mr "you are beautiful"!!

    ReplyDelete
  3. Very true...you look mwaaaah, af kiumbo hicho mama wawili ni sheeedah ahahahhaa duh upo poa sana.
    Thanx umerudisha nywele rangi nyeusi ndo inakutoa fresh wangu!


    Mdau wa Musoma.

    ReplyDelete