Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 22, 2013

KITAA



pata muonekano
Muke yake Slay
mama wawili

pray for mama wawili wadau na project yake anayoianza  soooon!!! 

5 comments:

  1. we will pray for you my dear Mungu atakufanikisha..mmh mimi penda sana hicho kiatu, pendeza sana

    ReplyDelete
  2. Wish u the best mama wawili

    ReplyDelete
  3. Tunakuombea mdau toka Tanga

    ReplyDelete
  4. ukweli umependeza ya kaisare mpe kaisare mtu hawezikuamini kama una watoto wawili, tutakuombea mwaya usijali Mungu atakufanikisha na biashara yk unayotaka kufungua ubarikiwe sana na familia yk

    ReplyDelete
  5. Mama wawili upo kama hujawahi kuzaa wajameni. Wengine tumezaa mtoto mmoja tu limwili hilooo nachukiaje sasa!!!!!!!!

    Umependeza mwaya ngoja na mie nije nijaribu kubana hiyo style yako ya nywele inakutoa sana najua na mie ntatokelezea ahahahaha

    Mungu atakufanikishia tu mwaya tupo nyuma yako kwa maombi.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete