Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 20, 2014

MAMA WAWILI


Nipogo wapendwa wangu, ni vile tu am trying to catch up  na haya maisha,  otherwise Namshukuru Huyu Mungu anayetuwezesha,tujari, tutetea, na kutuketisha na wakuu. ni kwa neema zake tuu tumekuwa hivi tulivyo....... huwa najiuliza hivi kama angehesabu makosa yetu ni nani angesimama?????? Nawapenda wadau wote mnaonisoma, kikubwa nipokeeni tuu kama nilivyo na kuniombea mapungufu yangu kama mwanadam. 
hivi mnyama karudi sokoni??? maana naona hii wiki nimegongana sana na mnyama........

 nasikitika kuwambia kwamba yale maombi mlioniombea yakuongeza vinyama kidogo yamegonga mwamba  nahisi kuna watu mlinitegee..........Ha!ha!Ha! kiukweli kuna nguo naitamani ila ipo saizi 8 nakuendelea nimefanya juhudi zangu zote ndo kwanza nahisi nimeharibu.......

Muke ya Slay



  ( Ahsanteni wote mliosema neno kwa topic iliyopita mmenibariki sana, sana, sana....... najivunia kuwa na wasomaji kama nyie. MBARIKIWE)

12 comments:

  1. Umependeza sana muke ya Slay, mnyama huwa hachujii yupo juu kila kukicha. hiyo nywele inakutoa sana

    ReplyDelete
  2. wow!stunning baaaaaaby,UMETOKELEZEA,Usiongezeke bwana da rose me i lov u the way ua ukiwa boonge aaaa HAPANA BHANA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Husna kumbe wewe ndo mtegeaji ushindweeeeeee

      Delete
  3. umependeze kibinaadamu, ila iyo tyt inebana saaaanaa hapo kati jmn loh!

    ReplyDelete
  4. Mnyama huwa yupoyupo huwa haondokagi

    ReplyDelete
  5. ha ha ha ha ha ha ha umeona eeeeeeeeee ILA DAH! naheshimu sana maombi yako na NNAYAGOPA MNO BANDUGU(in mama wawili voice...)NA NEEEMA YA MUNGU IKANIONGOZE NISISHINDWE KIKWELIKWELI LOL!NIREGEEE TU Kwa maneno ya mama mchungaji ILA NSIANGUKE CHINI.

    ReplyDelete
  6. sweetie them pants are so tight love, they show your inner most reserved baba wawili stuff....I think you may opt to remain with upward fotoz only

    ReplyDelete
  7. we dada ndo umenifanya niingie kwenye maombi ya kusaka mume mwema.... hujui tu kiasi gani unaniinspire, unanibariki, unanipa moyo, unanifariji na kuonyesha njia gani tuiendee. i just wish to have a perfect marriage. wazazi wangu walikuwa na ndoa nzuriiiiiiiiiiiiiiiii mnooooooooooooooo but my mom passed away after only ten years of their marriage. my dad hakuoa tenaaaaaaa i was only 8. wewe na wazazi wangu ndo ndoa nzuri pekee nilizozishuhudia. barikiwa sana endelea kutuonyesha kuwa ndoa ni paradiso ndogo. wanao nawaonea wivu as najikumbuka mwenyewe na wazazi wangu, a responsible and ever loving father and a wonderful mom. my mom had two daughters jus like you. nahitaji sana ndoa ile ifanye kazi kwenye maisha yangu. nakupenda mnooooooooooooooooooooooooo na Mungu awatetee muishi maisha marefu.

    ReplyDelete
  8. Dah mnyama ugonjwa wangu, umekutoa kinomiii in kingwendez voice lol! Kunywa gainer uone unene wake. Ila mwanadamu wakati wengine wanataka kupungua wengine wanataka kunenepa mmmhh!

    ReplyDelete
  9. u have good collection bt that pant imekubana sana we see everything in btn

    ReplyDelete
  10. kwa kweli suruali yako haina upako!!!

    ReplyDelete
  11. jamani mwenzenu naombeni nijitetee kwa hili hainibani hivyo hapo kwenye naniliu, hii ni pant ni ndefu kama mtaikumbuka nilivaa kwenye moja ya post zilizopita nakitop kifupi haikuonyesha hivyo, ila siku niliovaa na hii top nafikiri mda wa picha sikuipandisha juu hivyo ule urefu wa juu ukawa umejikunja hapo chini wakuliona hili alikuwa mpiga picha anistue , sasa mpiga picha mwenyewe ni mwanenu haelewi chochote anachojua nikunipiga tuu. niliporudi mda wa kupost ndo nililiona. lakini kwa sababu nilijua nini ndo maana nikaachilia. believe me haiko kama mnavyoiona hainibani hivyo kama mnavyofikiria. bila shaka mmenielewa

    ReplyDelete