Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 12, 2015

NIMEKUTANA NAZO........

 Ha!ha!ha!ha! leo bwana nimekumbuka maficho yangu imebidi niingie kwenye kumbukumbu zangu eee bwana sinimekutana hizi............... 

 Aisee zimenikumbusha mbaliiiiii nyie mwenzenu nilikuwa sijawahi kulala 5* maisha yangu yote mpaka siku ya honey moon (kempist) baada ya hapo ndo nikajimuvuzisha  huku na hii ndo ilikuwa my  first 5* kulala kwenye nchi za watu aiseee??? nyie ushamba mzigo nyie acheni tuu ki!ki!ki!
Mweee!!! acheni nicheke maana nikiwasimulia hapa Baba wawili atanichapa ha!ha!ha!ha!

  haya   chungulia my TBT......
 Mwanangu alikuwa na miezi 8 hapo.... duuu kweli siku hazigandi  ukimuona leo kweli ni NEEMA

 nyie bwana nahisi nahitaji wigi siku moja moja mbona kama nimekuwa mtamu kuliko mcharo??? Ha!ha!ha! au ndo kunyonyesha kulinipenda tupige namba tatu nini???

 Mwe jamani mwenzenu nilikuwa km nalea mapachaHa!Ha!Ha! Hapa Careen alikuwa km ana miaka miwili na miezi michache sema alikuwa  mrefu kuliko umri wake....

Mapozi sijaanza leo ujue???

Ujue nini sasa Basi wanetu walikuwa wakilala nasisi tunajivalia kiouting  humo humo hotelini tunafanya yetu ha!ha!ha!

Duuu halafu nyie my husband is handsome khaaaa!!! Acha niwe na wivu ki!ki!ki!

 Bye

3 comments:

  1. Hi hi hi hi hi mtu chake bhana, I Wish you more happy memories!!

    ReplyDelete
  2. kweli ilikua raha yake na inaonekana machoni mwenu! hongereni

    ReplyDelete