Pages

Ads 468x60px

Monday, November 16, 2015

ONJENI ...........



Haya basi Mama wawili kesho anaongeza mwaka mwingine......... heheheee uzee huo unakuja mwenzenu.....

 Basi leo onjeni mapicha kesho ntawaeleza ilikuwaje?? na kwa nini ilikuwa hivi?? nimejifunza nini??? labda na wewe utajifunza kitu kupitia hili.

Nilianza hivi........

VIP treat kama kawa..........
nikuwanyoosha tuu mwaka huu mtakoma ha!ha!ha!
nikapita nyumba moja baada ya nyingine kumchuka mualikwa..... kumbuka hii ilikuwa suprise mwalikwa aliombwa awe nje mda fulani kuna mtu anakuja kumchukua  bila kujua usafiri gani utatumika na wala hawakujua wapi wanaenda...............
 Eti Dada yake nani huyu??? mi namwitaga makubwa! nampendaga tuu yaani.............

Namshukuru Mungu suprise ilikuwa suprise kweli........... nyie angalieni nyuso zao  ....



Bwana weee sio kwa minyoosho hii ......hamchelewi kuniita disigner ha!ha!ha! au party plan kkkkkkkk

 The joy inside me jamani kuwaona warembo wamependeza hivi...... aisee Mungu mwenyewe anajua!!


nilivyomaliza kuwapitia nilikuwa nakuja kuwaleta kwenye venue kama kawa red carpet heshima yao ......... 






wapenzi siwezi weka kila mtu/kitu hapa......wale wafacebook bila shaka mmejionea wenyeweee.......
kwa sababu nilikuwa na trip mbili hapa palikuwa pakufikia nakusubiriana huku wahudumu wanaendelea kuwahudumia hahaha! kweli tulikuwa maqueen yaani.......

Basi tena wote tulipofika ndo nikawaongoza humo ndani.... na mengine yalifuata

na huu ndo muonekano wake......

kesho tena nimewambia mjiandae kusoma gazeti simnajua huwa siwezi kujieleza kifupi hahahaaa!

7 comments:

  1. Tunyooke mara ngapi...kwi kwi kwi...
    Ila nimepata mawili matatu...
    Nimependa hiyo combinationa ya colours za pazia na mito ya makochi...nimeshadesa mwenzio...
    Napenda sana blog yako...and na najifunza vitu humu
    Mama wawili mwenzio

    ReplyDelete
  2. Yani sijui nikuambieje naangalia picha mara tatu tatu simalizi kwa kweli wote mlipendeza sanaaaaaa kweli ulifurahia siku yako. Happy birthday Mungu akupe afya njema na maisha marefu yenye mafanikio tele.

    ReplyDelete
  3. Inaonyesha tu kwa picha ilinogaaaaaaaaa!!! Happy birthday mumy.

    ReplyDelete
  4. beautiful!!! beautiful!!!! beautiful!!! in deed!!!! happy birthday ROSE! nakupenda buree! ha ha ha ha ha we mwenyewe unajua! kwa leo niishie hapo lol!

    ReplyDelete
  5. Nimepagawa na picha mpaka nika forget kuwa ni birthday yako...Happy Birthday Girl!

    Mama wawili

    ReplyDelete
  6. Happy birthday mama wawili,mlipendeza sanaaaaaaa.

    ReplyDelete
  7. Happy birthday ma dear mama wawili mungu akupe miaka mingi zaidi yenye mafanikio na furha tele.

    ReplyDelete