Pages

Ads 468x60px

Monday, March 23, 2015

LATE POST............BABY SHOWER

Haya wandugu  ukizungumzia one of my girls, yaani huyu humkosi kwenye list yangu, nampenda mnoooo na huu ujio wa huyu kiumbe  sasa dah! Mungu mwenyewe ndo anajua ni jinsi gani ninafuraha!!!!

Haya mamii yangu nakupenda mnooo unalijua hilo eti eh??? Mungu aliye Hai aendelee kukupigania yaani ha!ha!ha!ha! Mambo mengine natamani kuendelea kufunguka ila naogopa utanichapa ki!ki!ki!ki!



halafu we mrembo ujue??? hapo tuu Mama kitumbo dah!!!



ha!ha!ha!ha! mi sijasema kitu ujue......... Sema nini  Shemeji yangu ana shiiida



Deco by ?????


Mjengoni palinoga aiseee???

uko na nani hawa???

Atakae kuchukia wewe ana shida!!!  you are so sweet babe.....

The woman behind the Camera nimeona nisipitwe bila kuweka baraka zangu.....

oh dear !!! mwingine huyu yaani.......... nimejikuta nimemtoa kwenye list yamarafiki amekuwa my Dada aisee tunajuana wenyewe...........EE bwana kila mtu anamjanja wake a.k.a mtu anayetumika kwenye maisha yake aisee huyu Dada alitumika mara baada yakufika kwenye hii nchi ya wenyewe!! Aisee nimekumbuka mpaka nimetokwa na machozi.............................. Sorry Ney i shouldn't do this hapa  aisee nimeshindwa kujizuia..................i will always respect that Sarah!!!!!


mutu na maboss zake chezea kupendwa wewe vyeo pembeni ha!ha!ha!ha!

Bibi yetu  ha!ha!ha! nimemiss story zake.......


Shemeji ya mimi alikuja  kutuchungulia  akapewa adhabu hiyo yakuonja hivyo vyakula vya watoto aseme vina radha ya nini.......... alinimaliza kuniambia kimoja kina radha ya ukwaju ha!ha!ha!ha!

3 comments:

  1. wow ni mrembo haswaaa Mungu amjalie kila la kheri Amen

    ReplyDelete
  2. safi sana wapendwa wa aussie,nawatamanije ss?yan siwajui ila nataman siku nkija nikuone mama wawili

    ReplyDelete
  3. Yaani Rose Umenichekesha, how come I missed this. Ah guess what Busy kulea. God Bless You, from our hearts, you are the best.XO

    ReplyDelete