Pages

Ads 468x60px

Thursday, March 19, 2015

MAMA WAWILI..............


 Haya ndugu zangu, march  mpango ni yellow...... ili tuwe pamoja na wenzetu  wenye tatizo la endometriosis tuungane nao wapenzi, zimebaki siku chache bado unaweza ukafanya kitu sauti yako inaongeza idadi bado hujachelewa..........tuonyeshe tunawajali nakuwathamini eti eeeh!! Haya  mi ndo nimewanominate nyie wadau wangu wooote, mkafanye kunominate na marafiki zenu watano ili sauti isikike huko kwenye masocial media.............. 
Na km kuna mdau wangu humu na wewe hii kitu unayo pole sana wangu aisee nimewahi kubahatika kuishi na mwanamke wa hivi nyie acheni........ mbaya zaidi siku zile hutakiwi kusema yaaani labda km ni rafiki yako otherwise unaugulia mumo kwa mumo duuu!!! Mungu awatetee ufumbuzi upatikane. Sauti yangu na yako kwa Pamoja tunaweza........

msisahau ku #GOYellow4Endo#ManyfacesofEndo.




1 comments: