Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 8, 2015

NIPOGO................

Nyie bwana mwenzenu nipo mafichoni nasherekea miaka saba ya ndoa yaani................ Tunamshukuru Mungu kwa kweliiiiiiiiiiii kwa neema yake yaani tunadunda. milima na mabonde  kawaida aisee ila ujue nini mi nadhani Mungu hakupi mtihani usiyoweza kuhistahimili.............. labda mwenyewe tuu ugome, na ukigoma ndivyo akili inavyopokea kimgomo mgomo mwisho wa siku wewe  na akili wote  mnagoma............. basi hapo kila kitu kinakuwa akiwezekani...................... Lakini bado ni neema pia, sisemi inawezekana tuu kirahisi rahisi  na wala siseme najua zaidi au mi ni kamandoo hapana, Ndugu zangu kuna wakati  huwa nikimsikiliza mtu kwa habari ya kiatu chake anachovaa duu huwa naona tuu labda hata mimi ningekivaa ingekuwa hivyo  sijui .......(nawaza tuu) Ila kikubwa nikuandaa akili yako na kila unalokutana nalo amini Mungu anataka kutengeneza ushuhuda kupitia hilo....... lakini pia linahitaji utayari wako.

 Wapendwa mimi sio mkongwe sana, lakini, naamini miaka saba wandugu na mimi ninakakitu kakusimulia au kumshauri mtu eti eeh??? Ha!ha!ha!ha! 
 Basi sasa namshukuru Mungu bado sijafikia hatua yakujutia miaka miwili ya mwanzo kidogooo shetani alitaka anishinde  kifupi mwaka wa kwanza asilimia kubwa  ndoa yetu ilikuwa ya mbali yaani mwenzangu alikuja huku soon after kuoana na mwaka wa pili nikamjoin kuanza maisha ya ndoa rasmi.......... japo tulikutana miaka mitatu kabla ila sasa situnahesabu  ya ndoa ha!ha!ha!......

 Kumbuka wokovu nao tumeuanza rasmi kipindi cha ndoa so kuna miroho mingi huko tulitoka nayo aiseee kabla neema ya wokovu haijatujia............ Duuu ile miaka miwili aisee nakaaga chini namtafakari huyu shetani alivyomuongo aiseeee!!! Libarikiwe jina la Bwana litupalo tumaini nakutushika mkono tusianguke adui akaringa...................... TULISHINDA

Na hii miaka mingine mitano kwa kweli sikumbuki km kuna siku shetani alinipata kihivyo  yaani.... narudia tena ups and downs zipo but hey we are so good......... i will marry my husband again millions+++++

Jina la Bwana libarikiwe...............


  mjue hatuko wawili tena tuko mtu nne........ so full kubond huku mafichoni  natuna jitahidi hawa wanenu waelewe hii kitu imaanisha nini hatuendi ndani zaidi ila waelewe upendo ni nini, na wajifunze kitu, wajue kwa nini tumekuja kujificha, inabeba maana gani kuacha nyumba na kupanda ndege kwenda sehemu ya mbali  kuna nini hasa ndani yake..........ila tunapigwaga maswali ya hatari ha!ha!ha!ha! mengine sasa unajiuma uma maana kuwadanganya hawa watoto wa ulaya bwana mwiko....... ha1ha!ha!ha!
ntakuwa nawarushia mawili matatu nikipata muda otherwise mpaka nirudi kwenye normal life................. 


duu! kama jana vile........


2 comments:

  1. Mbona staili ya nywele ilikutoa sana...jaribu kuwa na staili inayofanana na hiyo bana...ulitokelezea mbaya dear...

    By M

    ReplyDelete
  2. Hongereni!! Mmenitia moyo , mi Niko mwaka wa kwanza kwenye ndoa kuna mambo flani yana tukumbuka, na sisi ndo kwanza wokovu tumeuanza its a struggle , kusoma habari yako kwa kweli imenitia moyo!!

    ReplyDelete