Pages

Ads 468x60px

Monday, March 9, 2015

AFRICAN ATTIRE.............................


Jamani ninavyojisikia yaaani!!!!!!!!! Aisee nyumbani ni nyumbani hata ubishe..... kutabaki kuwa nyumbani ............Kajisemea na Mama yangu mwanangu huko ulaya kumetosha  mrudi nyumbani sasa kha!!! Ha!ha!ha! 
 Nani huyu etiii???

 Mjanja wangu yule yule @akailatailors........ fanya kumfollow basi

Duuuu!!!! 


Haya zinawatosha eti eeeh???

 Nawapenda

5 comments:

  1. Cjawahi kuona umevaa nguo ikagoma kukaa mahali pake umependeza mmnooooooooooooo cku haishi bila kupita humu

    ReplyDelete
  2. sijui nikuambieje ili uelewe umetokelezea sana muke ya Aslay!

    ReplyDelete
  3. Pendeza sana mammy ake.....


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  4. umependeza sana Rose dear, huyo tailor wako yuko Perth au yuko bongo na sisi tujaribu kidogo

    ReplyDelete
  5. Umenogaaa! Barikiwa

    ReplyDelete