Pages

Ads 468x60px

Friday, March 13, 2015

TOTOZ DAY............................

Wamegoma kunipiga picha leo wamesema its their time............  haya Mama mtu nimegeuka kuwa mpiga picha leo
 
she is turning 5yrs next month jamani nyieeeeeeee!!!!


 haya mapozi yakupindisha mguu hata mimi siyaelewi  ha!ha!ha!

the face, when she is shy



Haya twende huku nako mmmh!!

 i know the talent please people dont remind me ki!ki!ki!ki!



 I promise....... Mumy will  support you babe..... ngoja kwanza tuweke msingi wa academic kwanza ha!ha!ha!


 soon my shoe closet will be stolen ki!ki!ki!ki! blame Dad for this.........

Sema nini??? siku hizi nawabania kidogo hawachelewi hawa, wakikua kuanza kudai haki zao, Mumy ilikuwaje  kuniweka weka kwenye mablog bila sababu ???? chezea watoto wa Obama wewe??? Naogopa mwenzenu!!!! Ha!ha!ha!ha!
nyie mwenzenu  hapo kwenye ukoka wangu nimeona uyoga km mitatu minne imeota........... nikakumbuka ule uyoga sumu watu walikula wakafa mnakumbuka??? Sasa Careen na yeye kauona wacha aanze kuukimbilia wee nilipigaje kelele stop Careen Sumu!!!! ha!ha!ha! Akajibu Sumu???!!!! what is Sumu????  maelezo yaliyoendelea siri yetu.........

 Tunawapendaaaaaa

4 comments:

  1. wow! hongera sana watoto wamekua! Mungu awape afya njema

    ReplyDelete
  2. Careen is a mini version of you , aiseee mnafanana hadi mapozi!!

    ReplyDelete
  3. You have beautiful family!!

    ReplyDelete
  4. Jamani nawapenda hawa watoto sana wazurijeee!

    ReplyDelete