Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 31, 2013

NEWLY WEDDING

Jamani hii ndio habari ya mujini Dar es salaam na London....... kwa wale mnaowajua na hamjabahatika kuthibitisha hili huu ndo mpango mzima, imehalalishwa wiki kadhaa zilizopita.

Bi Amina  muke halali ya Mnukwa a.k.a Muke ya rafiki ya Mume wangu  karibu sana mamii hawa watu hutojuta hata kidogo......we  omba Mungu akupatie hekima yakuitumia nafasi yako km mke uone utakavyopetiwa petiwa ha! ha!ha!
Mr &Mrs

gorgeous!!!

4 comments:

  1. weka basi picha zako napita kila siku humu sikuoni mama wawilitupia basi mbili tatu za kitaani picha.

    ReplyDelete
  2. Pendeza sana mashallah

    ReplyDelete
  3. They look so amazing, Happy for them!!!

    ReplyDelete
  4. jamani makeup ya bibi harusi wamemuharibu, but hongera zao wamependeza sana, makeup tuuu wameharibu.

    ReplyDelete