Pages

Ads 468x60px

Friday, March 20, 2015

NISEME NISISEMEEE???

Ha!h!ha!ha!ntasema next time............... halafu  nyie si mnajua kwenye masuala ya selfie ni sheeder!!!  Ila nimejitahidi khaaa!!!Haya hiyo ndo my new makeup...................... ntakuja  nikirudi ntawambia imekuwaje sasa mbeba mabox na mimi nimeanza kuingia kwenye mambo yakujiremba ha!ha!ha!  Yamenikuta mwenzenu ntarudi kwi!kwi!kwi!

UPDATE
He nyie acheni kutaja taja majina ya watu basi, khaaa!! na hivyo vichambo mnavyonipa sasa loooh!!! hivi mmeshindwa kuvumilia kujua nataka kusema nini au??? Kweli Mungu atuhurumie aisee.............Halafu ujue nini  nilitupia hizi picha for fun yaani nilitegemea watu mcheeeekeeee...... maana mimi mwenyewe nilijicheka baada yakujimwagia maana nilikuwa sijielewi nafanya nini full kujaribu kila kitu sikujua nini kitatokea nikajikuta kichekesho lakini hapo hapo nikapata kitu cha utangulizi ya kile ninachotarajia kukisema.......... mbona imekuwa tofauti sana na mlivyolipokea eti???? kha!!  Sasa copy & paste ipi kwa mfano, hivyo nilivyojimwagia au???duuu!!kwa akili yako unafikiri nimeshindwa kuziedit??? au kutumia camera yenye quality????duu!!! km ndo  hivyo sasa nani ntamuuzia???wewe au??? basi ukikubali basi na wewe utakuwa mwenzangu na mie............(Products km products kweli mkombozi ila hizo picha hazikunia mauzo nielewe weweeeee) na talent ipi mnayozungumzia??? kipi kipya hapa kupaka wanja au??? halafu wanja wenyewe hapo nahisi nilisahau kupaka ha!ha!ha! heeee!! nyie hata kama  am full time kuosha magari,kusafisha vyoo jamani nina visiku vyangu na mimi za kujinaniliu yaani........nilianza kuiba wanja wa Mama Rose toka niko shule ya msingi nilichapwa  mnooo,nimejichora hadi na mkaa mjue??? baadae angel face ha!ha!ha! sema tuu sio yule mtu wa 24/7 ukiniona nafanya yamenikuta tuuu.... ndo utulie sasa ujue kwa nini yamenikuta...........

 Anyway nimejikuta tuu nimekasirika sio kwa sababu mmenichamba ki!ki!ki! moja ni kwa sababu yaani mmeenda mbali mpaka duuuu!!! yaani tungekuwa faster hivyo hata kuzitafuta aisee umasikini ungeisha.............. na kubwa lililonikasirisha nimejikuta nimewaza tuu, haya maroho ya hivi, yanayowakamata watu mnoo.......... mwisho wa siku mtu anafeel km hana thamani tena, haiwezekani,yaani anakata tamaa kwa sababu ya maroho yanayotumika namna hiiii.........Kwa mtu ambaye labda aliwaza afanye  ili apate namna kujitoa,au labda ndivyo alivyotakiwa kufanya, akikutana  na macomment ya hivi aisee, hivi unajua ni jinsi gani utakuwa umemkwamisha huyu mtu??? Ushindwe na mapepo yako ulipo....Humu ndani watu tumechoka tunataka kutiana moyo na michongo namna gani inawezekana............ wewe km kazi yako kupita pita nakuvuruga aisee wee kaa mbali ujue unacheza na wapendwa humu????ha!ha!ha! usiombe wakakulipua kwa maombi kwi!kwi!kwi!  Jamani hebu tuache hayo mambo yaani........ Hebu tutiane moyo.... Ntakwambia kitu kimoja kuna vitu ni lazima mtu aanzishe, au atumike kuamsha ndoto za mtu hii ipo mnooo............

Ntakupa mfano, leo nilipata invite kwa mtu fulani mzoefu mnoo kwenye  mambo ya biashara, Sasa tulikuwa tunaongea naye kwamba tunaona kunauhitaji sana wa kitu fulani kwenye hili eneo, kitu ambacho sisi tunajua wapi kwa kupata lakini hizi taratibu za nchi tunahisi zinaweza kutukwamisha........ Alitupa idea ambayo nafikiri Mungu alipanga ilitukapate majibu yetu kwa maana nyingine ametumika mnooo..... na wakati huo huo hicho ni kitu ambacho yeye hakukiwaza lakini anaona kabisa its a big deal ............. Nakwambiaje???? naamini kabisa anauwezo wakukifanya lakini atakavyokifanya yeye na tutakavyokifanya sisi am sure kitakuwa tofauti........ kikubwa  tusiweke chuki ndani yetu like kwa nini amechukua idea zetu na wala yeye asifanye kama anataka kutuibia idea, nakuhakikishia kila mtu atabarikiwa.............

 Mfano mwingine 
Wakati tunanunua hii biashara kuna mtu ambaye alikuwa interested kuinunua ila sema mambo yake hayakukaa sawa na muuzaji hakuwa tayari kumsubiri...... Sasa siku ya makabidhiano jamaa kaja amefuka moshi anataka biashara, mambo yamekaa sawa hataki kuamini km  Wana wa mfalme wameshajinyakulia muujiza wao ha!ha!ha! DUUU!!! jamaa alileta fujo fulani sie hao tukaondoka eneo la tukio..... ujue nini tulirudi tukapiga goti kumshukuru Mungu maana  kwetu sisi lile tukio zima lilitudhihirishia kwamba ni KWA NEEMA  kulikuwa kuna vingi vinaendelea nyuma ya pazia lakini Mungu alitupitisha...... few weeks later jamaa akafungua same business  mbele kidogo ya tulipo na kwenda around kwa wateja wa kampuni wakubwa, dizaini kama kuwachukua kitu ambacho kwa akili za kibinadamu naamini alikuwa na nafasi kubwa yakuwachukua, kwa sababu wanamjua  alikuwa rafiki wa aliyetuuzia, na wakati huo huo tuliamini yawezekana aliyetuuzia pia alishiriki ili kulinda ushoga  na jamaa maana ilibidi amsaidie kufungua (kuna vitu vilitufanya tuunganishe dots )na tulikuwa na kila sababu yakumshtaki maana mkataba haumruhusu kujiingiza kwenye biashara yoyote inayofanania kwenye eneo tulilopo......... In short Hakuna hata mteja  aliyefanikiwa kumchukua............. Na sisi mzigo ulikuwa ni bandika bandua hata kuwaza kuna mshindani mbele yetu saa ngapi????  kwa Muda fulani nafikiri Mungu alikuwa anamuandaa maana alitegemea vitu vingi negative kutoka kwetu ambavyo hakuvipata mpaka pale alipotulia......  Sasa hivi ndo tunamuona anafanya yake na sisi tunafanya yetu.  Mwisho wa siku nafikiri wote tumejikuta we were meant kufanya same biashara lakini kila mmoja kwa namna yake.........


 Ninachotaka kusema ni hivi Tatizo sio kufanya,Tatizo ni namna kinavyofanyika................

 Haya Sasa ndo msubiri mjue nataka kusema nini........ Itanibidi sasa nisema soon as i can maana nahisi kuna watu mna hamu uvumilivu unawashinda.... 

Otherwise napendaje sasa????

 Halafu nyie bwana nimenoga duuu!! ila tatizo pua khaaa!!! mnafanyaje sasa mbona kama ndo imevimbishwa ha!ha!ha! au ndo ya hivi hivi najifanya siijui??? ha!ha!ha!

5 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Wazungu wanasema, there is room For everyone, ama nene?? Sema nn with the hateful people and ever cursing beings especially in the social media world, one need Jesus and holly spirit guidence ama sivyo waweza chizi

    ReplyDelete
  3. Kuhusu selfies you nat that bad as you think!! With practice you will get there!!

    ReplyDelete
  4. uko poa muke ya Aslay wacha wachonge sana lakini siku zote utabaki kuwa wewe na wao watabaki kuwa wao tatizo siku hizi watu hasa wa tz wamezidi kutumia mitandao vibaya na hata kusababisha watu kugombana kupitia comment. usipoteze muda nao

    ReplyDelete
  5. Achana nao mama wawili kwani hata kama ulicopy na kupaste nini mbaya? Mbona kila mtu anafanya jambo wengi wetu tunapata inspiration toka kwa watu? Waache hizo bana...kama vipi ndimu zinawahusu hahahahahaha


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete