Pages

Ads 468x60px

Sunday, June 1, 2014

THE LOOK........................


Few snaps after Church...........................
Nani huyu???
Mama yake Careen & Christabell
jamani mpiga picha hata kunistua mwenzake kiatu kimejaa tope........... ha!ha! ha!
haka kajieneo kanyumbani kwangu, nimekabatiza jina la picha maana tukiingia tuu ni moja kwa moja hapo ...............wapiga picha wanajijua ili nisiwaingilie kwenye ratiba zao wanapitiliza kwenda kuchukua kamera ili tumalizane kabisaaaa, otherwise sibanduki hapo kama hawajanitendea haki kuna huyu mmoja utasikia, now mumy!!! i only take you 5 and that's it no more(in her voice)........... movie ya Frozen jamani nyumbani kwangu imechukua nafasi kubwa inaweza kuangaliwa 24hrs na mtu asiwasumbue.Mama mtu na mimi nimepata chakusemea kila kitu if you dont do it, no  Frozen Ha!ha!ha!
 mwisho wa siku lakini mtoto ni mtoto tuu

No comments:

Post a Comment