Pages

Ads 468x60px

Monday, June 30, 2014

MAMA WAWILI..........



Kuna wakati unajitoa akili kidogoooo unataka kujifanya na wewe katoto kumbe uzee unakunyemelea kwi! kwi! kwi!


someone needs to be remainded,  she is no longer a teeneger!!!!........... She is Mama wawili,Muke ya mtu, 30 yrs old................... lakini hivyo ndivyo anavyojisika kufanya kwa muda huo  kwi! kwi! kwi!  who wants to be old anyway....Tunakomaaa
Haya Nawapenda

6 comments:

  1. mlokole unabinua matako..bana lakini umeisoma.mnajivika ngozi za kondoo kwa mgongo wa ulokole.halafu hebu acheni showoffs zisizo za maana.nyie walokole kwa kuwaona wenzenu wajadhambi kama nyie wasafi vile..acheni kuhukumu msije kuhukumiwa.nakupa ukweli najua utabana kwasababu mnapenda kuabudiwa na Hamjiamini.

    ReplyDelete
  2. Mwe mwe mwe! Kah. Here is a glass of water madam! Angalia usijepata kiungulia.

    ReplyDelete
  3. dada si bure unapepo!!!! @anony 9.21 am

    ReplyDelete
  4. Fanya upendalo mamy2

    ReplyDelete
  5. Mh hiyo comment hapo juu majanga lakini hebu jinsi utakavyobarikiwa jaribu kutoa somo kidogo watu waelewe nini maana ya kuokoka na maana ya mlokole.

    Bado umri unaruhusu mama wawili usijizeeshe umependeza tena uzee mwisho msataaa

    ReplyDelete
  6. He ! huyo naye na asamehewe tu.

    Na zaidi aombewe inaonesha kuna mengi yanamsumbua

    ReplyDelete