Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 3, 2014

NI WAPI SHETANI KAPITIA TUTUBU!!!!!!


Tumesikia meeeengi,mengine uvumi mengine ni kweli. ILA ni nani wakuthibitisha nililosikia mimi ndilo la kweli na ulilosikia wewe ndo uzushushi???? ila nimejifunza kitu kupitia hii interview ni bora sikuzungumza aiseee.mnajua nini lakini????? (Mungu huwa anajitetea mwenyewe tusitumie nguvu sana tukapoteza kusudi zima ole ole ole wetu......................ole, ole, ole wako...................

Angalia sana tunalipokeaje hili, unaliwekaje na kwa kusudi lipi, na pia jiulize kama ni kweli kwa nini limeruhusiwa???



2 comments:

  1. kwahili jambo nimesikia mengi mnooo mpaka nashindwa cha kuamini, la msingi wanatakiwa wamshirikishe MUNGU aisee!!!!!!! hizi ndoa zinamengi jamani kwa nje watu huonekana wanafurahia ndoa zao lakini usiku kwenye hizo masterbedroom zao ni tabu tu, tusiwahukumu hii familia kwa hili jamani, maaana kwa kufanya ivo tunaendeleza alichokikusudia ibilisi, mi nafikiri hili linatukumbusha kua ibilisi yuko kazini hasa anashughulika na sisi waaminio kutuaibishaa niwakati sasa tukumbuke ni wapi tulitumia akili zetu juu ya ndoa zetu na tukamuweka mungu pembeni, hasa akina mama jamani tumlilie mungu hakika ndoa zetu zitapona!

    PS:yaliyotokea kwa dada flora either ni ya kweli ama si kweli ni alarm jamani kwa ndoa za waaminio kwamba shetani yuko kazini and he is really determined to destroy our marriage!!

    ReplyDelete
  2. Mungu akubariki sana kwa maoni yako uliyecomment hapo juu. shetani siku zote vita yake ipo kwa wale wampingao na mwana wa Mungu ujue kufanya kazi ya Mungu kuna vita kubwa sana katika ulimwengu wa Roho. ninachokiona hapo ibilisi ameona huduma yao ya uimbaji inapanuka mpaka wamekuwa na studio yao pia mihaliko ni mingi injili inahubiliwa yeye ameweka hira. Namuomba Mungu mwenye nguvu asimame pamoja nao atetee ndoa hii kwa shetani kazi yake ni kuharibu na kubomoa ila Kristo amekuja kuzivunja kazi za ibilisi 1Yohana 3:8

    ReplyDelete