Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 26, 2014

MY MUNCHKINS..........................

Leo si ndio ile siku yetu ya TBT???? nimekutana na hizi picha  za wanangu zilipigwa wiki ileee......... nimeona nizitendee haki kuzidobolisha ha! ha!ha! haaaa


Spotted.....


 mdau uliyeuliza nywele zilizokatwa imekuwaje. Bado ndugu yangu tunajitahidi kufunika funika  ila ndo  ziko rough vibaya!!!!! ukimsuka zile zilizokatwa hazishikiki, ukimbana zinakuwa kama zimevurugwa vile .... hivyo hivyo tunakomaaa mpaka ziote..........

 sura yakikazi

ukimuomba pozi ndo umeharibu kabisa............

 na hiyo ndo TBT yetu ya leo

2 comments:

  1. Haa haa haa haa pozi pozi sasa Mungu akujalie sana wakuwe vyema amina

    ReplyDelete
  2. watoto wazuri...umebarikiwa dada...mkubwa ni wewe mtupu..mdg dadi yake...sfi sana.

    ReplyDelete