Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 5, 2014

MAMA WAWILI...................

Wandugu kweli liwezekanalo leo lifanye kwa moyo na kwa nguvu zote maana ukingoja ngoja utasubiri sanaaa by the time anastuka muda umekwisha..............Hivi una habari tushamaliza nusu nzima ya mwaka?????? duuu!!!!! hata mimi kwa hili nahitaji kuamshwa maana hata sijaelewa bado

haya pata muonekano wa Muke ya Slay

Ushamjua ni nani eti???
mwenyewe huyo
 na mapozi yake yasiyo na jina..........
Anawapenda mnoooooooooooo!!!

2 comments:

  1. barikiwa dada rose barikiwa kwaroho saaaaaaaaaaaaaaaafi

    ReplyDelete
  2. Barikiwa dada barikiwa kiroho safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii barikiwa saaaaaaaana tu

    ReplyDelete