Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 10, 2014

TOTOZ DAY............................

hii siku naona ilikuwa niyakucheza cheza tuu, Tangu tulivyoamka asubuhi na wanangu tulikuwa busy na michezo, mara tukimbizane,mara wanichezeshe kimovie ya Frozen,mara tujifiche....... muda kidogo nikapigiwa simu na mke mwenzangu mie, anasema,  tunawamiss mko wapi?? sie tupo park tumeona tuje tuchome nyama huku watoto wana  wanacheza. Nikaona sasa bora nimesaidiwa maana kuna muda unachezeshwa hata ukichoka unalazimishwa tuuuu......... 

 Baada ya mlo tukaanza kuchukua matukio
WAWILI..................
 Spotted
na hii ndo team tuliyoikuta huko
ntafuga mbwa mjue......
eti wanaenjoy kulisha bata!!! 

 katoto kangu mwenzenu kalikuwa na homa tuvidonda tumemtoka mdomoni
 nimependa pozi ila mama mtu mpiga picha kanichop, chop

 Siku hizi hatuogopi tena kubembea ila tunapozi tuu hapo ole wake mtu ajisogeze kunipush Ha!ha!ha!

THE END........


No comments:

Post a Comment