Pages

Ads 468x60px

Monday, June 23, 2014

MY WEEKEND................................

Wandugu weekend yangu kwa kweli ilikuwa nzuri mnooooo, nimemshangaa Mungu aisee.......................ilikuwa ni moja ya weekend  ambayo kwa kweli moyo wangu ulikuwa mzito kuiruhusu ifike haraka, maana kulikuwa kuna baadhi ya events kama ningeziruhusu zingeweza  kunivuruga kabisa na pengine kunipotezea uwepo..... hii yote nilihisi kwa akili yakibinadam  labda niseme kujistukia kutokana na historia.................... haya Tutazungumza hili kama tukiruhusiwa

Pata moja ya muonekano wangu wa weekend.

shoe game
about to go
Muke ya Slay

dobolilo





5 comments:

  1. UMEPENDEZA SANA MAMA WAWILI

    ReplyDelete
  2. Umependeza mpaka basi mamii.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. kiatu jaman uwiiiii...always loving u mama wawili

    ReplyDelete
  4. Siku ukifanya mgao wa viatu utukumbuke mashabiki wako

    ReplyDelete
  5. Umependeza sana mama yao wawili Mwaah

    ReplyDelete