Pages

Ads 468x60px

Tuesday, June 3, 2014

MAJANGAZ..........................

Yaani leo nilitaka na mimi niseme kidogo kwa habari ya Waimbaji wetu( MBASHA'S). Simnajua tena familia yakipendwa, na wote washasema na mitazamo yao tofauti  japo kuwa mpaka sasa ukweli una wenyewe na sisi tunalichukulia kama picha ilivyokuja  na tunalipokea na kujifunza....................... lakini sasa umbea woooteeee umeniisha sikumbuki hata point moja maana hili mnaloliona hapa kwangu ni janga mwenzenu!!!! 

 Bado sijamuelewa kabisa!!!  kachukua mkasi kajikata anakuja analia i want my hair back ziko mkononi anazirudishia jamani!!!!! roho imeniumaa maana hizo juhudu ninazoweka kwenye hizo natural hair mwenzenu!!!!! Hebu nambieni nafanyaje sasa hapo maana hata vimakonga haviwezekani!!!!!! mweeeee!!! haya namwambia no option sasa nikuzinyoa zooote analia utamuhurumia!!!

 Isingekuwa rahisi kukumbuka Camera muda wa majibizano, Mama mtu alikuwa ameshanivuruga akili utafikiri hizo nywele za kwangu, halafu anavyolilia nimrudishie nywele zake ndo alikuwa ananimaliza kabisa!!!!mpaka nimedondosha chozi.......!!!!
Baada yakutulia sasa ndo mapozi yameanza
najaribu kumpigia picha nikimnyoa itakuwaje????
duuuu!!! 

No comments:

Post a Comment