Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 15, 2013

MUONEKANO....


NAMPANGO WAKUKATA KAMBA KABISA KUVAA VINGUO VIFUPI NIMEGUNDUA SIO LAZIMA SANA...... HAHAHA!HA!
NIMESEMA NA MPANGO SIO NIMEACHA KWI KWI KWI!
MUKE YA SLAY

15 comments:

  1. kwa kweli muke ya Slay umependeza sana na hicho kivwazi

    ReplyDelete
  2. Ujue ww una shepu nzuri ila tatizo una sura ya kiume hivyo hilo wigi halikupendezi kabisa unakuwa km mwanaume shoga, ila ukivaa lile wigi la carl linakupendeza kutokana na sura yako lakini hilo big NO kiroho safi tu wala sikuchukii ila anayekupenda anakuambia ukweli, ni hayo tu mpendwa. Barikiwa dada.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Gauni ukilichoka tupia kwangu mana nimelipendaje

      Delete
  3. haya ww uliye na sura nzuri weka picha zako tukuone mbona unakosa heshima,eti Rose ana sura ya kiume embu muache mwenzio anazungukwa na utukufu wa Mungu popote alipo na hilo ndo la kutafuta na kujivunia.We mwenye sura nzuri kaweke picha zako kwenye mabango usifiweeeeee tuone kama hizo sifa zitageuka chakula ule ushibe.

    ReplyDelete
  4. Nice dress mama wawili mdahu
    From sweden wapi hiyooooooooooo

    ReplyDelete
  5. kamwambia ukweli ndio maana kamshauri na wig la kuvaa...unaumia kwa ajili yake..tatizo mnapenda kusifiwa tu....habari ndio hiyo

    ReplyDelete
  6. Haloooooooooooooo!! wenzio wanalilia bahati si zura, ukute we mwenye "sura nzuri" kutwa kuhangaikia waume za watu, hata wa kwako hupati, kiroho safi my foot, hv wewe binadamu gani mpaka ukamtoe kasoro mwenzio, hujafa hujaumbika, ebu mwache dada wa watu afanye yake

    Rose leo umependeza sana na hiyo nguo, umetoka mpendwa, gauni ya mikono mirefu hata size ya kati inakupendeza.

    stay blessed say hi to watoto wako. I'm mama wawili too ladies like u, penda sana wewe

    ReplyDelete
  7. Afu huyo dada kanitia hasira. ningemtia vibao angekuwa karibu, kila mtu na mtue babu hata bundi ana mpenzi wake, ww chuki zako tu, dada wa watu yuko fresh. wenye wivu hao, fungua blog tukuone heheheeee

    ReplyDelete
  8. Be you dear i love you because you are proud of yourselve the way you are! Hata waseme wivu tu na vijiba vya roho mbaya vinawasumbua you are beautiful thats why your hubby chose you. Loo watu wana wivu dunia hii sijapata kuona keep it up!

    ReplyDelete
  9. heheeee nicheke mie, watu hawalilii uzuri wanalilia bahati, uzuri siku izi hata kwa hela unanunuliwa ni hela yako tu,na Mama wawili kajikubali alivyo ndo maana anajiamini na anapublish picha zake,mi naona huyo mdau anamuonea wivu just look at her she has a great body and she is sexy and on top of that that flat belly limetoa watoto wa wili.Embu tuwekee za kwako na ww tukuone huo uzuri wako?

    ReplyDelete
  10. Jamani msitake kusifia kila kitu hata kama hakijampendeza, nimeshamuona na wigi la curl na hili pia ndio maana nikasema kiroho safi wala simchukii ila hili wigi halimpendezi linalompendeza lile la curl kutokana na sura yake. Nyie sasa ndio mnaomnanga mwenzenu hampendi kumwambia ukweli,

    ReplyDelete
  11. Huyu dada jamani mm nimemuelewa sana ila nyie ndio hampendi mtu akiambiwa ukweli, na inavyoelekea nyie hata ndugu zenu au marafiki wakivaa kitu na ukajua kbs hakijaendana nae mnanyamaza sio vzr huko ni kumchora mwenzenu

    ReplyDelete
  12. dada sasa nimekuelewa ungeandika acomment yako hivyo wala hakuna mtu hapo ambae angekunanga tatizo umetumia lugha na kauli mbaya,umemwambia anasura ya kiume hivi ww mtu akikwambia hivyo utajisikia vizuri kweli?,ili hali yy ni mtoto wa kike tena ukaendelea eti mwanaume shoga pyuuuuu binafsi sijapenda hiyo kauli rekebisha kauli zako na nashukuru umeshajirekebisha baada ya kujustify comment yako.

    ReplyDelete
  13. Mmh kuna mtu ana bifu na rose au?ht km kiroho safi huwez mwambia mwenzako ana sura kama mwanaume shoga,jaman tuwe care kwenye kuchagua maneno tunayotumia,put yoself kwny position yake af amtu akwambie hivyo...naamin hata mtu awe mzuri kwa kumwangalia machon huwez jua ya ndani km ananuka mdomo?au kikojoz?...rose am proud of u coz unajiamini live ua lyf gel,sura ht dukani zinanunulika,af maneno yackukatishe tamaa mana ht kwny khanga yapoooooo!

    ReplyDelete
  14. Take it from mi umependeza tena sana...lastly naomba hiyo gauni kwi kwi kwi

    ReplyDelete