Pages

Ads 468x60px

Monday, May 13, 2013

MOTHER'S DAY DINNER

Ahsante Mama kwa kukubali kunileta Dunia,kunilea tangu nikiwa tumboni mpaka leo na mimi naitwa Mama wa Careen & Cristabell
Mama wawili
Mama na Mwanae wakifanya yao
ulianza wewe mwanangu kuniita Mama
na binti yangu jamani nimekuza mweee!!! Namshukuru Mungu mnooooo!!!!
ukafuata wewe kukamilisha wawili

Mumy my puu is not working..( in Cristabell voice) kwi! kwi! kwi!
Bibi i want to wash mikoni iyaa( in her voice) kwi! kwi! kwi!

 waliobeba dhamana ya mimi kuitwa Mama
tulijificha humu 
happy girls
tumekamilika ( The team)
best ukinichungulia humu nisome kaujumbe kako haka, kwa kweli nashukuru mnoooo hivi siku ile ningesema NO!!! ningejutajeee???? mmmh!!! unaponimalisaga hunaga neno mingi mingi we ni vitendo tuuuuu HA!HA!HAAA!!!! mwenye ujumbe wake ataelewa ukiona hujaelewa sio wako.


No comments:

Post a Comment