Pages

Ads 468x60px

Monday, May 20, 2013

MUONEKANO

Watu wangu wa ukweeeli bila shaka weekend ilikuwa poua..... km sivyo sahau na kusamehe yale yote mabaya uliyopitia km vipi malizia hasira kwa mama wawili hapa ili tuanze week pamoja........ wote tunapitia isipokuwa tunaweza tofautiana siku.... usikubali kumpa shetani nafasi, hanaga maana huyo zaidi yakukufanya uangalie tatizo na kuzidi kusononeka bila kupata shuluhisho.Usimwangalie mwanadam weka Tumaini lako kwa yeye awezaye yoooote.........kuwa mwangalifu sana pale unaposononeka Mungu wa walio hai anakaa pembeni anakusubiri mpaka pale utapomwiita aingilie kati kiroho safi ha!ha!hahaa! wakati huo shetani mguu juu kwani anafurahia kuona walio taabuni. 

HAYA SASA MALIZA HASIRA
Muke ya Slay
mama wa wawili
Rose Mwinuka wa Slay mbeyela
BEYOU

5 comments:

  1. Uko vizur mama yao.wasalimie wa mamtoni

    ReplyDelete
  2. Nice top Rose umependeza if you don't mind uwe unaandika sehemu uliposhop muonekano wako!

    ReplyDelete
  3. Kama kawaida yako mamii you look super today!!!
    Love you mingi.

    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  4. habari,,ni mara ya kwanza kucomment hapa but am your fan,,nikwambie kitu if you wont mind,kila mtu ana upande wake mzuri wa picha,nimegundua ur left side is your best,,chunguza picha zako utanielewa...UMEPENDEZA

    ReplyDelete