Pages

Ads 468x60px

Monday, May 27, 2013

TULIVYOSHEREKEA SHEREHE YA UMOJA WA AFRICA

 SYLVIA WAMBOI FROM KENYA ALITUPEPERUSHIA BENDELA MISS AFRICA PERTH

Asingeshinda ningeomba nirudishiwe pesa zangu kwi! kwi! kwi!
mc
manjonjo  tu yakutukaribisha
walitutumbuiza  Afrika Warrior 
alitutumbuiza nilimpenda bureeee alisema najivunia kuitwa mwafrika na sitaionee haya injili....
mmoja wa warembo  kutoka Zambia

akituonyesha kipaji 
Congo nae alituwakilisha hivi


dressed by Diane Mtanzania mwenzetu ....big up Diane naomba discount ya hili Gauni sasa sijui na mimi ntachomoka hivi au huyu mwenzangu  urembo umechangia kwi! kwi! kwi!
dressed by Diane
na hiyo na nyingine mtaziona kesho endeleeni kunichungulia alivyovalisha warembo wa Tz
haya mambo hauhita diet simmeona wenyewe ni kujikubali tuuu..

baadhi ya picha ambazo Camera ya mama wawili isingeweza kuvumilia bila kupiga
kila kitu kimelala hapa.... confidence,urembo, kujikubali........
she is only 16 ka cute mnooo
from Liberia
Top 7

from left 2nd runner,miss Africa Perth 2013,  and 1st runner
nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi Mama wawili. kaeni mkao wakuona warembo waliojitokeza hususani  Watanzania waishio Huku.

1 comments:

  1. huyo aliyeshinda kweli ni mrembo na amependeza sana!

    ReplyDelete