Pages

Ads 468x60px

Friday, May 24, 2013

FRIDAY LOOK


HELLOW WINTER!!!! wandugu wenzenu tumeanza kuikaribisha winter kabaridi  kaumbali hata km kuna jua.......... nathamini uumbaji wa Mungu ila km kungekuwa kuna choice hii hali mmmh!!! naiogopa baridi kuliko.......
kitaa leo nimeng'aaje????? bila shaka mlioniona hamjapa tabu kujiuliza maana hiyo rangi lazima ikustue...
mama wa wawili 
Muke ya Slay

2 comments:

  1. Nimeipenda jeans yako ...,plus the shoes..umependezaa

    ReplyDelete