Pages

Ads 468x60px

Friday, May 10, 2013

TUZUNGUMZE


"A mature person does not take himself too seriously.... keeps himself alert in mind......does not always view with alarm every adverse situation that arises.... is too big to be little.... never feels too great to do little things and is never too proud to do humble things... never accepts either success or failure in themselves as permanent....is one who is able to control his or her impulses....is not afraid to make mistakes.... has faith in themselves which becomes stronger as it is fortified by their faith in God."

 jichunguze na kujitathimini bila kujikatisha tamaa nakulalamika........ jichunguze ni kwa kiwango gani bado hujafika unapotaka kuwa na huku ukijikubali na kufurahia kiwango ulichofikia.......

there is no way mama wawili akawa wewe(wa kundi fulani) au wewe ukawa mimi (wa kundi jingine)... binadamu tumepewa kalama tofauti japo kuwa tunaweza kuhitajiana kwa namna moja ama nyingine....... na pia naamini tupo kwa makundi ndio maana utajikuta  kuna watu wanakupenda, kwa maana nyingine you inspire them hawa watu watakupenda tuu hata pale ulipokosea watataka kujua kwa nini???? hawatabadili ukweli kuwa uongo  watakwambia kwa namna fulani km wakipata nafasi na kwa sababu ya namna waliyokwambia imeclick somewhere ambapo mnaconnect( kiswangish duuu) ofcourse utawaelewa tuu na kujirekebisha..........

kutokana na kwamba hakuna aliyemkamilifu na tuko tofauti na kalama zetu tulizopewa bado kuna kundi la watu hawatakukubali kwa jinsi yoyote ile........ufanye nzuri litageuzwa na kuwa baya na ile mistake ndogo itageuzwa kuwa mjeledi wakukuchapia hapo ndipo tunapopata  ADUI huyu mtu ni hatari ana sifa moja yakutaka yeye kuwa wewe lakini hawezi kwa sasa hajapewa kalama hiyo na bad luck haitawezekana kamwe.........wakati anashughulika kudeal na wewe anaweka kando ile kalama yake na kujitahidi kufanya afanyalo ili aweze kukuzuia wewe ( HATOWEZA)  by the time anakuja kujitambua ameshachoka na majeraha yakukusumbukia  mambo yako, wewe tayari uko mbali sana kutokana na masumbufu yake ulijitia moyo na kuutumia muda wako mwingi kuilinda na kuitetea kalama yako amebaki kuwa looser ya kwake yamemshinda, yakwako hayawezi,amebaki kuilaumu dunia haimpendi wengine wanaona bora wafe  na kufa hafi malipo duniani wanasema ni mpaka umuone adui yako kwa macho akitumikia yale masumbufu aliyokupa na kuna wakati Mungu anaweza kukujalia kumtambua mtu anayetumikia adhabu fulani hasa anapokuja kwako kujieleza au anapokuwa karibu na wewe kwa namna fulani..........tunachojivunia ni kwamba tuna neema ya utakaso km tukijitambua na kutubu........

ni hayo tuu ya mama wawili (BE YOU)

1 comments: