Pages

Ads 468x60px

Friday, May 3, 2013

TUZUNGUMZE


 TUNACHOSHUKURU NI KWAMBA MUNGU WETU HAANGALIII UMEANZAJE ANACHOANGALIA UMEMALIZAJE......
Najiuliza km angeangalia tumeanzaje hivi leo ni nani angesimama?????  kuna wakati ni kikaa chini nakutafakari nilipo na nilikotoka ninamshukuru Mungu mnooooo........najihisi nina nafasi ya upendeleo hata nikijikagua na kujichunguza ni wapi nilipokuwa mkamilifu mpaka nikastahili neema hii SIONI  kiasi kwamba naona aibu  kwa Mungu, kwa jamii iliyonizunguka na kwa familia yangu hasa pale wanangu watakapokuwa wakajua uozo uliowahi kufanyika kwa Mama yao.AIBU! AIBU! AIBU! kinachotia moyo ni hili neno MUNGU HAANGALII NILIKOTOKA..... hivyo najikuta nafarijika ila km mwanadamu lazima ujistukie na kujitahidi kwa kadili uwezavyo history isijirudie (HATA KAMA DHAMBI ZETU NI NYEKUNDU KAMA DAMU YEYE ATAZISAFISHA.........) AHSANTE MUNGU

 Nikija  kwenye jamii najitahidi kila niwezavyo nisisimliwe ili kukumbushwa,km mjuavyo wanadam wanaongea na huwezi kuwazuia tumeumbwa kutafuta mabaya ya mtu ili kuyakuza..... mara nyingine hata humu ndani mtu atakutumia comment ambazo zinikumbushe past au kutaka kunionyesha ananijua sana ukweli ni kwamba siwezi kuziachilia  jamani sipendi  kuyaendeleza ikiwezekana msiendelee kuzituma lkn km mnaona kuna umuhimu wa mimi kuzisoma poa endeleeni mwenzenu huko nimeshatoka.......... moja yakitu iliyonithibitishia km siigiza ni kweli nimejitoa dont take it serious hii ni kmchangamsha genge nilikuwa nakaugonjwa kamoja ka club jamani nilikuwa nikiingia humo kuanzia wimbo nitakaoukuta mpaka mataa ya saa 12 asubuhi yale kweupeeee mtoto  wa kike bado nipo kwenye floor sijielewi kwi! kwi! kwi!  sasa nikiwa kwenye hii neema  niliyonayo yakujitambua one day mtu mmoja wa karibu sana aliamua kufanya part yake Club kwa namna moja ama nyingine nikajikuta natakiwa japo nikauze sura ili kuikamilisha siku yake( furahi na wanaofurahi au sio) Eee Bwana ile kuingia tuu kizunguzungu ,makelele yaani naangalia hao watu wanavyoruka ruka uuuwiii kwa kweli kila kitu kwangu kilikuwa anasa! anasa! anasa! ilinibidi niage kwakweli, maana nilanza kujiuliza hivi humu ndani ni ward ya vichaa au mimi ndio kichaa ha!ha!haaaa!(Jamani msinipige mawe sijasema hizo sehemu ni mbaya ila kwa sasa kwangu ni anasa wandugu sio kazi yangu kuhukumu wala kubadilisha Bali ni Neema tuuu......

kwa upande wa wanangu aiseee  huku ndiko ntashindwa hata kujitetea siku ntakapojua wanangu wamejua yale ambayo sipendi wajue mama yao aliwahi kufanya........WHY LEO NIMELIZUNGUMIZIA  NI KWELI HAYANIHUSU LAKINI HAKUNA ATAKAYENIZUIA NISIME MTAZAMO WANGU......

UGOMVI
unapogombana na mimi leo usiniletea habari zangu za nyuma ambazo hata Mungu wangu alishanisamehe wewe ni nani  hata ukaendelea kunihukumu????? kuna haja gani ya wewe kuniingizia watu ambao hawahusiki km watoto, wazazi au watu wangu wa karibu  ili kunijeruhi nakunifedhehesha???? inakusaidia nini wewe tena kuna wakati hata hao watu wanaweza wakawa hawapo hai hiyo jeuri na kuwazungumzia unaitoa wapi na kuzungumzia yale mabaya yao AISEEE!!!!! kweli tunahitaji neema hivi viburi  sijui tunavitoa wapi si makanisani wala misikitini hakuna kwa upeo wangu huu mdogo nilionao............NITAKCHOJITAHIDI ZAIDI nikunyamaza kimya kukaa mbali na jamii ya aina hiyo kuhakikisha sisikii wala sitoi mlango wakuendelea kujua nini kinaendelea  zaidi ya yote nikupiga Goti Mungu anihurumie kwa yale majeraha unayonisababishia  na kumuuliza Mungu inakuwaje adhabu ya ile Dhambi niyotubu nakusamehewa bado naitumikia AMA KWA HAKIKA MUNGU HAMUACHI MWENYE HAKI HATA SIKU MOJA...... mimi ni shahidi wa hili.....MUNGU HACHELEWI WALA HAWAHI ANAJIBU KWA WAKATI WAKE MPAKA USHANGAE........

SASA BASI 
Nikikujibu kwa kutafuta tafuta na wewe mabaya yako ili na wewe tu nikuaibishe wanasema JINO KWA JINO kwangu huu ni ujinga wandugu inanisaidia nini????? mwisho wake nini???? mimi ni nani nikamshinda shetani bila neema ya Mungu????? mwisho wa siku na mimi ntakuwa mjinga km yule aliyenianzishia ugomvi  kwa maana nyingine wote ni MALOOSER ( am sorry)   najidhalilisha hata kwa ile jamii ambayo ilinielewa hapo mwanzo nakuzidi kuweka kumbukumbu kwa ile jamii ambayo najitahidi kwa namna niwezavyo isije ikajua ule uozo ambao nimeutubia kwa mda mrefu  hata km hayako kweli vitabu zangu bado ile jamii itakutana nayo kupitia kumbukumbu za wengine  (mambo ya utandawazi)na maumivu hayataisha coz najiweka kwenye mazingira yakufatilia kila siku..................

Leo hii mimi mama wawili nikianza kujinadi kwa matusi ambayo duuuu nashindwa hata kujielezea jamani tunatakiwa tujitambue hata kama uko wapi umeolewa na nani bado wewe ni mtanzania tuheshimu ile heshima ya wazazi wetu waliotulea.... km ukikumbuka hata ule uozo wa yote uliyokuwa unafanya kipindi hicho ulijitahidi kuhakikisha hata wazazi wako wasijue sasa leo jeuri gani inayokufanya ututolee matusiiiiii.... uuwiii hizi laana zinazotukuta ukubwani jamani !!!!!!!!sasa sijui nini Pesa  unafikiri ukifa utazikwa nazo??? mbona tunajisahau sana?????kama ni mke  kila mtu asimame kwa nafasi yake???? maana tumeanza hata kupoteza ile hadhi ya mke hatueleweki changudoa na mke tofauti ni ile mimi nimewekwa ndani mwenzangu anavizia barabarani..........heshim ile nafasi uliyopewa hapa haijalishi umeolewa na ngozi ipi bwana Mume ni Mume tusidanganyane.....unafikiri haya tunayoyafanya ungeonyesha enzi hizo kabla hujawekwa ndani ungewekwa ndani wewe labda awe bwege sio mwenye akili timamu........ hata kwani huyu Mungu akitubariki ndo tunatakiwa kutumia nafasi yakuwadhibu wasio nazo???? jamani Dunia tunayoiendea sasa tunataka kujifunza kitu chakuja kujivunia watoto wetu....... tunalalamika dunia imeharibika bila kujichunguza nani ameiharibu............

WANDUGU TUBADILIKE MIMI NA WEWE TUKIAMUA TUNAWEZA NA NEEMA YA MUNGU ITATUSAIDIA........

1 comments: