Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 29, 2013

KITAA NA MAMA WAWILI

Siku yetu hiyo na Baba wawili tunazururaje?? huwezi ukatukuta tunazubaa zubaa mtaani kila mtu pekee yake zaidi yamakazini........ kitaa lazima unikute km sio wanangu basi na Baba wawili ndivyo ilivyo kwa Baba wawili km sio na mkewe basi na wanawe unless kuna umuhimu mkubwaaaa au nikitu cha kwenda kuchukua mara moja nakurudi........Namshukuru Mungu sana inatufanya tubond mnooooo.

Muke ya Slay
ninachopenda siku nikiwa kitaa na Baba wawili huwa sikosi zawadi hata pipi...... leo kaniingiza Apple na hizo boot ha!ha!haa! nilivalia hapo hapo shop kwi! kwi! kwi!
ki blackberry changu kinanisumbua  lakini huwa akinisumbui kwa sababu natumia simu ya Baba wawili mtu akinikosa kwangu  lazima atapiga simu ya Baba wawili  ambayo ntakuwa nayo km yuko kazini au ntakuwa next to him, so as him. muda mwingine marafiki zetu huwa hawatuelewi na mmiliki wa line ipi. hiyo ni style yetu na  kazi zetu zinaturuhusu..... Angalizo usije ukaenda kumshika shati mzee kisa kutumia simu moja eti mama wawili anafanya weweeeee!! that doesn't guarantee anything my dears ni style tuuuu

mama wawili
long sleeves sasa wakati wake maana kajibaridi ukiona mtu namikono mifupi anakomaa kifasheni

kasimu kakiwa kapya hata unavyokaweka kimapozi fulani hivi ngoja ukazoee Ha! ha! ha! 

4 comments:

  1. UMEPENDEZA BUT UNGEVAA NA JEANS NYEUSI NA HIYO TOP UNGEPENDEZA SANA NA ZAIDI YA SNAAAAAAAAAA MAMII NI HAYO TU MWAYA BARIKIWA SANA NA MUNGU .

    ReplyDelete
  2. Mpaka uje kuizoea utakuwa ushaunguza chakula vya kutosha

    ReplyDelete
  3. hata hiyo poa nyeusi utaonekana umepania sana, sometimes unatoka simple na inaleta maana, nimependa combination, cause simplicity is my definition too labda. barikiwa mama 2 mwenzangu.

    ReplyDelete
  4. Mama wawili umependeza mwaya....hongera kwa simu mpya angalia wanao wasiiharibu ahahahha mana mi mwanangu na simu duh!!!! ni noumeeeeer


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete