Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 21, 2013

TAMKO


Wadau please tufanye yetu basi, habari za mitaa mingine sidhani km zinatuhusu sana humu ndani........ twende tukajifunze na lile lisilotufaa tuwaachie wenyewe........ hizi vulugu za mambo ya BEYOU kupeleka mitaa mingine na za huko kuleta kwangu sijui zinatusaidia nini.........sizihitaji na sina uhakika km na wao wanazihitaji wapi na wapi??? mtoto wa mkulima anayeamini Jembe na maombi ndio silaha yake ukamfananishe  na watoto wa mjini khaaa!!!!hata aibu amuoni????wandugu mwenzenu bado najikongoja safari yangu bado sana msiniongezee mzigo!!!!!  hakuna kitu nakichukia km kuweka chuki ndani ya moyo wangu aiseee hilo hata Baba wawili analitambua.........najitahidi sana kukimbia mazingira yatakayonifanya niwaze maugomvi badala ya maendeleo. nimegundua kitu kimoja mablogger wengi wanagombana bila kujua tatizo sio wao ni comments zetu wadau......... sijui inatusaidia nini tunapoona fulani na fulani wamegombana....
ingekuwa amri yangu humu ningepiga marufuku wambea,wanafiki, mivivu isiyotaka kujifunza maendeleo inapenda mteremko wa maisha,mwenzake anapojikongoja asonge mbele anajua kumkatisha tamaa kwa maneno ya jeuri,kiburi na wivu, anapofanikiwa unampa majina ya ajabu ajabu na kuamini kwamba haiwezekani nyieeeee!!!!!

Kwa wale watu wangu mkifatilia kuna comment fulani nimeiachia ili mnielewe ninachozungumzia... hiyo sijaiona km chafu sana km ambazo sijaziachilia some people wanataka kunipa umaarufu wakijinga ambao haujengi zaidi yakubomoa. upuuzi mtupu.

muke ya Slay
mama wawili
hizi picha za mwisho naona camera imeanza kunitendea haki, haki gani ( siri yangu) ha!ha!haaa!mwenzenu ushamba mzigo bado sijajua kuitumia Camera mwee settings zake zinanisumbuaje????? 

9 comments:

  1. Pendeza sana mamitooo,umependeza sana sana pia unang"aa watumia nini mrembo?

    well said, watu wengine wana chuki na wenzao kijinga sana, wakiona wamepitwa basi mayowe mayowe while mayowe hayasaidii bali ni jitihada za mtu binafsi, work hard uwe kama mtu fulani bac? umebaki maneno tu

    oooooh fulani mbona hivi mbona vile, ukute we mwenyewe hata jiko lenyewe huna na uko na kajiko ka mchina hehehheeeeee, watu wambea jamani

    well said mama wawili wamezidi haoo

    ReplyDelete
  2. mama wawili sorry, kuna kauzi kdg kananing"inia nyuma ya gauni mwaya, umetoka sexxy

    ReplyDelete
  3. we nouuurma duuu yaani mimi ndio unanistua hata sikujistukia haha!haha!haaa!nimechekaje??????? haya ahsante

    ReplyDelete
  4. Eh kumbe kuna watu wanaleta habar za mtaa wa pili bora hauachii comments zao

    ReplyDelete
  5. MBONA UMEPOTEZEA UNAPAKA NINI MWILINI KMA ULIVYOULIZWA NA MDAU HAPO JUU SHEA BASI NA SIE TUPENDEZE KMA VIPI AU UNASEMAJE.

    ReplyDelete
  6. AF UMEPENDEZA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  7. bora ulivyokuwa wazi,maana ukiwazoesha tu,kosa.matokeo yake ni kujitafutia stress zisizokuwa na mpango.mambo ya ugomvi wa mitandaoni ni ukichaa tu,watu hamjuani sasa ugomvi wa kazi gani.comment ukiiona haina muelekeo wewe bania

    ReplyDelete
  8. Hapo tu ndo napokupendea mama wawili, potezea mbaya hao wambea wanaoleta maneno toka blog zingine...siupendi sana huo mchezo, yani sijui binadamu wengine wapoje jamani!!!

    Darling una busara sana endelea kubarikiwa. Humu ndani kwetu hatuhitaji marumbano yasiyo kuwa na maana wakomee huko huko lols.

    you look so nice in this dress my dear!!!

    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  9. una swaga za kisupastar binti umetokelezea mbayaaaa my dear ze colour of the shoes sasa vitamujeeee napenda sana rangi yako ipo uniform no mambo ya PEPSI MIRINDA HAPO SAFI SANA MUKE YA SLAY

    ReplyDelete