Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 14, 2013

UJINGA NI.................

Tunavyopenda short cut za maisha bila kujua mbeleni itakuwaje?????? mama wawili leo ndio najifunza manual miaka yote hii na licence ninayo............International licence ( automatic only) Tz licence nililetewa mlangoni madai eti nimehitimu manual driving khaaaaaa!!!!  hata sijielewi ile driving niliyoifanya siku karibu mwezi   bongo ilikuwaje????? huko kuchange gear utanihurumiaje???? gari linazimaje????? mwalimu anajitahidi kunifundisha weee mwanafunzi much no kwi! kwi! kwi! BABA WAWILI wangu alishapiga makelele miaka mingi anifundishe sikuwahi kuona umuhimu sasa basi saa hizi nimeomba mwenyewe kwani ni muhimu mnooo..... nahitaji licence ya manual kuliko maelezo. PROJECT ninayotaka kuianzisha ( kama Mungu akiiruhusu)inategemea sana sana licence.......naanza upya natakiwa kubook in for a test,itanicost upya, na nikiendeleza ujinga ntaikosa hawa wenzetu wako makini sana hawakupi licence kijingajinga...............


mama wawili
 Baba wawili miguu inaniumba naomba unipige picha mwenzio tumalize siku ha!ha!hahaaa!
hapo chacha
mapozi tu.... yaani hii gari ilikuwa  nikitaka kuisogeza na Baba wawili hayupo hiyo shughuli itamsubiri tuu mpaka arudi aibuu eeeh!!!
nyumbani pale nani amepaona????
tusipende short cut wandugu huu ni mfano tuu niliwahi sikia mtu anasema mimi namuomba Mungu anipe Mume nikute kila kitu ndani weweeeee???? Muombe Mungu akusaidie upate mwanaume mwenye akili za maisha hata mkiaanza na zero huko koote na mengine mtazidishiwa kwi! kwi! kwi! raha ya kijiko ulie ujue thamani yake utajua kukitumia tu nyumbani kwako........eti kisa chakubeba mabox wakati Mume wangu anaingiza $$$$ za kutosha we hayaa we???
ushauri wangu wa bureeee  bidada piga mzigo usichague jembe hata ukiingiza ndani $ 100 mumeo akaingiza $ 10,000 itafanya kitu hiyo  hata mlo wasiku.......
MNISAMEHE BURE KWA NILIOWAKWAZA ILA NIMEGUSWA......

1 comments:

  1. Asante kwa ushauri, kiukwel you are gorgeous and i like, this is definetly a blog to follow very inspiring.

    ReplyDelete