Pages

Ads 468x60px

Friday, May 17, 2013

SHUGHULI NA MAMA WAWILI

Wandugu mnisamehe bure ilikuwa tuzungumze lakini Mama wawili siku za ijumaa mara nyingi yupo busy  mbayaAAA...... kama kawa mabox ndio mpango na jioni huwa tunakutana na wapendwa  kwa ajili  ya kukaa pamoja kutafakari, kusali,kuimba, kuabudu na kubadilishana mawili matatu huku mkono ukiingia kinywani........ huwa tuna rotate leo ilikuwa in my house....duuuu!!! huo mda wakuzungumza na nyie sijaupata hata kiduchuuu  nichungulie kidogo utanielewa.......
jamani jiko langu nalipenda sana! ila, nikiwa na pika mlo haswaa huwa nalichukia....  kiukweli sipendi kujaza mavitu hapo juu hata kidogo....... ukiwa na open kitchen utanielewa maana ukikaa sebuleni jiko liwe na makolokolo halina mvuto hata kidogo....... halafu uwe mpishi wa vile vyakula vyetu kwi! kwi! kwi! kaanga samaki mara tatu, unguza maharage mara mbili in the same week then ujisahaulishe usioshe vyombo vyenye shombo ya maharage na ubwabwa uliochacha weweeeee!!!!! hiyo week hata uwashe fan,fungua madilisha na air freshener juu hapakaliki na kwambia kwi! kwi! kwi! nimejaribu ku imagine tuuu..... KWA WALE WAGENI WANGU MKIONA UMEKUJA GAFLA HALAFU NIMEWAKARIBISHIA PRIVATE LOUNGE  sijawaruhusu mpitilize huku mjue habari ndio hiyo hakukaliki kwi!kwi!kwi! joke

Mama wawili
nimemaliza yeeeeeh!!!! 
ngoja viendelee kuwarm shughuli inaamia kwenye usafi. hii kitu leo imenibeba sana nimezoea kuwarm kwenye micro wave ilinigomea kuwaka nimeirudisha kama mjuavyo mambo ya warrantee nilijua ukienda unabadilishiwa hapo hapo duu paper work tena waliniambia watanipigia simu nikachukue sijawasikia kesho asubuhi nawaamkia

ntafanyaje sasa mi ndo kila kitu  japokuwa  nafurahia sana nafasi yangu kama mke na mama ndani ya nyumba.......
jamani  hakuna sehemu inayonishughulisha ndani mwangu km game room uuuwwwiiiii!!!! km niwapigie picha kesho tena baada ya wageni kuondoka maana huwa wanakuja na familia sasa hao wanangu hizo shooo off ni adhabu tosha kwa mama wawili kusafisha tena na tena na tena............leo nimeficha vitabu,kalamu vile vyote ninavyoona itakuwa vulu vulu maana duuu!!! 

oooochhhh!!! hoi jamani nikaoge sasa nikae mkao  wawageni zaidi ya yote nipate muda na Mungu wangu .........guyz it feels so good when believers meet and share....... naupenda sana huo muda aiseee!!!
Mama mwenye nyumba
sasa i love my kitchen sema mwenyewe mdau
muonekano wa sasa game room wakitoka huko waliko wanachojua kusema mumy thank you for cleaning our game room.... kwa hilo nawasifu...... ila ukiwambia njooni mnisaidie Cristabell atakwambia mumy you can help ussss, because its so hard and am a baby sister ( in Cristabell voice) hahaha!ha! huyu mwingine atakusaidia lakini atabeba kimoja kimoja then atakwambia mumy am tired ha! ha! haa i love them

yaliyoendelea ni uwepo tuu camera hazina nafasi..... watu tunakiu yakiroho......... NAWAPENDA

18 comments:

  1. nywele zimekupendeza kuliko yale mawigi.ausralia nyumba zenu nzuri,hongera nyumba yako safi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nipo Australia naona nyumba tunazoishi hii nyumba inaonyesha sio yakitoto hata kama ni mortgage deposite yake lazima iwe gorofa Tz au @ list 2 house za mtanzania wa kawaida she is blessed! Na kupenda unavyoishi Mama wawili

      Delete
  2. hongera sana rosee,,,,i lyk ur lyf style

    ReplyDelete
  3. Nice kitchen nice house nice food yaani kila kitu niceeeeeeeee hongera sana.

    ReplyDelete
  4. mummy hongera ur house is gudoooooooo, in nigerian voive,

    ReplyDelete
  5. Nakupendaje mama wawili!!!! we ni msafi sana yani nyumba yako inavutia saaana.
    Barikiwa dadangu.


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  6. Mama wawili na wewe hebu acha kumuiga Mange, vumbua topic zako mwenyewe kabla Mange hajaweka, juzi katuwekea kajiko kake kadogo leo nawee huyoo unaonyesha lako kubwa... acha hizo banaa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sishindani wala siigi hata sikuwa na idea upande wa pili kinaendelea nini siku yangu ilikuwa busy km ulivyoiona msiwe mnajudge vitu mamii

      Delete
    2. Na wewe umesikia mama wa wawili akijitamba.Amemzidi mzungu ndio maana vimacho vimekutoka ehh .

      Delete
  7. Rose mama hebu huyo mdau hapo juu asikuumize kichwa, inawezekana ni mgeni humu kwani leo ndo analiona hili jiko lako? Mbona ulisha weka sana tu watu tunalijua!!!

    Who is Mange by the way kila mwenye blog akifanya kitu eti kamuiga Mange mbona makubwa jamani lols.

    Muke ya Slay fanya yako achana na waosha vinywa!!!

    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  8. Mbona almost yako sawa, mdau nae analeta mawivu yake huku, achana nae mama wawili. hayatuhusu eeehe

    ReplyDelete
  9. JIKO ZURI DADA TENE HUNA HATA MASHAUZI WEWE NDO MWNEYEWE KILE KIBIBI CHA KIPARE KINAJISHAUA KIJIKO KAMA KIBANDA CHA MZIMU WA DOGORO

    ReplyDelete
  10. mbona ww unamsema mwenzio umeweka stuli na kijiko cha mchina hahhahhaaaaa, weka lako tufanye comparison my dear acha uzushi wako hapa, umbea usimletee dada wa watu, mbona hukomi wewe, pumbavu.

    ReplyDelete
  11. Mbona hamuelewi jamani dada wa watu mtot wa mkulima na mwana maombi kasema hataki mambo ya kuchonganishwa na mtaa wa pili sasa we unaesema kibibi cha kipale cha mtaa wa pili zinakutosha kweli? yule unamwona ni bibi yule yule si mdada tu tena mzuri bado analipa sema unamuonea wivu tu jitume na ww utamfikia pia sali sana

    ReplyDelete
  12. Rose naomba unitoe ushamba kidogo hiyo cjui ndo warmer cjui niitaje hata cjui naomba niambie jina lake je bongo zinapatikana?ushamba mzigo jamani nipeni pole mwenzenu

    ReplyDelete
  13. mamii ndo hilo hilo jina km kuna jingine watatuambia hapa hapa siunajua Mama wawili na mimi nakurupukaga tuu mashikolo mageni na nunua kwa kutumia picha kwenye box kwi! kwi! klwi! ukienda kwenye maduka ya majiko ya umeme nahisi utapata tu siunajua bongo tulivyowabishi????

    ReplyDelete
  14. Mashikolo mageni ahahahaaaahhahaa umenikumbushaje ROCK CITY asante kwa kunijibu

    ReplyDelete
  15. jiko zuri,safi na kila kitu kizuri

    ReplyDelete