Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 23, 2013

MPANGO MZIMA

Haya  wadau lile swali letu, hayo ndo majibu..... product ninayotumia maeneo ya uso mpaka shingoni...... hazichubui.
lakini km wewe sio mtoka majibu km mama wawili sikushauri nikupoteza hela  tuu......napata maumivu sana kimoja kikiisha hapo hiyo jojoba pekee yake $ 80 hizo zingine google my dear ila mwilini  na mng'ao ni mafuta yakupikia yaani OLIVE OIL i recomend this kwa yeyote mwenye ngozi isiyosumbua ni best hata kwa watoto....

hiyo ndo powder
 viskutishe ukafikili kila siku ndo kwenye kiooo kwi! kwi1 kwi! na ubusy huu hapo kila kimoja   napaka once a week sometimes napotezea kabisa km mabox yamenibana labda hiyo jojoba ndo everyday km lotion ya kawaida....

kitu cha exstra Virgin olive oil   na hayo ndo mafuta yangu ninayopikia chezea mama wawili na bajeti kwi! kwi! kwi!
huo ndo mpango mzima.....

5 comments:

  1. THANKS, BARIKIWA

    ReplyDelete
  2. Ngoja na mim nijaribu mafuta yangu ya KORIE

    ReplyDelete
  3. Ngoja na mim nijaribu mafuta yangu ya KORIE

    ReplyDelete
  4. Yani haya mafuta tangu nianze kuyatimia mwili wangu unatereza Kama nyoka nilikuwa na mwili mbaya mpaka najionea haya ila olive oil ni suluhisho. Barikiwa mama

    ReplyDelete
  5. Muke ya musukuma umeniua mbavu eti mafuta ya korie mie mwenzio natumia ya nazi.

    ReplyDelete