Pages

Ads 468x60px

Tuesday, February 24, 2015

HAPA NA PALE ZA MAMA WAWILI.................


Haya wandugu
 Mwenzenu week iliyopita haya ndo yaliniweka busy........  This time mimi mwenyewe ndo  Mama shughuli............. hizi picha za kwanza niliamua kumsuprise  one of my beautiful lady. nilisahau kabisa birthday yake nimekumbuka few days before ........yaani huwezi fanya chochote cha maana na hasa ukizingatia  nina mambo mengiiiiiii in the same week. so ikabidi niite watu wachache sana watakaotosha kwenye meza yangu(8 people) nipike dinner  nimuite muhusika km nina meeting naye kwa ajili ya project nyingine tunayoifanya. Mbaya zaidi siku hiyo nayo mabox yalikuwa  busy balaa........nikajikuta masaa matatu kabla sina nilichokifanya Thank God nilifanya kutafutiza vilivyopo na siku ilipendeza zaidi ya matarajio.........

 Sijaachia hizo picha, kiukweli watu hawakuja wamejiandaa  wametokea kazini moja kwa moja na birthday girl mwenyewe alikuja km kashajianda kulala soon after our meeting ha!ha!ha! 

 ila nimekuja gundua kitu kimoja aisee nimejikuta nina kipaji cha kuset table yaani hata kama chakula kibaya watu wanaenjoy ile set up yangu Ha!ha!ha!
 Nyie kweli mjue sijisifii  before nilikuwa napewa sifa sana ila sikuwahi kuizingatia sasa siku hizi nimekuwa naitwa itwa kwenye vishughuli kutoa viji idea vyangu aisee najikubali bahati mbaya no room yakufanya hii biashara kwangu nina mambo mengi mnoooooo..... ila km nisingekuwa busy am sure ningejiongezea kajipato kupitia hili. Ha!ha1ha! ha! (Mama misifa)


 Haya na hii event nyingine nafikiri niliwatonya kuna kajifundrise nakafanya  lets see labda naweza funguka km ilkibidi......


 Ahsante Mungu lengo la hii siku  tuliimeet...........

 Haya wengine huwa hamnielewi  hilo ndo jina halisi la Baba watoto wangu........





 Nawapenda

2 comments:

  1. congrats on your talent dd, ila there are some pics hazionekani umezitoa? otherwise we like your blog

    ReplyDelete